Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni.
naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs.
It's very painful.
NB: mimi sio mwa CCM.
Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅
Yes!
Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU
Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-
Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi.....
#Hapa ndipo refa huwa anaingia...
class mates wa shule ya msingi / secondary
marafiki wa utotoni / secondary
Majirani
n.k
Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo
Nimefurahi kukuona baada ya miaka mingi, ni majaliwa kufika hadi tulipo
Ntakumbushia memories hasa tuliposaidiaana au aliponisaidia...
Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China.
Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha
Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi
Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina
Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia.
Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana.
Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
Baadhi ya wananchi wa Igwachanya Halimashauri ya Wanging'ombe, waliojitokeza katika zoezi kupiga kura leo November 27, 2024 ili kuwapata viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 5.
Soma Pia: Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe
Salaam,Shalom!!
Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali....
Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani.
Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani.
Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo.
Kunufaika na ‘Leverage’...
Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
Serikali ikiendelea kupiga hatua dhidi ya uboreshaji wa elimu Tanzania mkoa wa mwanza unakabiliwa na changamoto wanafunzi kukaa mda mrefu kwenye vituo vya magari kwa kukosa kipaumbele mda wa jioni hasa kipindi cha mitihani ya taifa.
Adha hiyo hutokana na wanafunzi kutokupewa kipaumbele cha...
Nipo hapa kutafuta mchumba mwanamke nimekuwa single kwa muda mrefu.
Vigezo dini yeyote, umri wowote sichagui mahusiano serious kwa ambaye yupo serious ani Pm niko DSM.
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu.
Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija.
Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.