mrema

Augustino Lyatonga Mrema (born 31 December 1944) is a Tanzanian politician and former minister for home affairs in Tanzania. After switching party affiliation in February 1995 he joined NCCR-Mageuzi before moving on to Tanzania Labour Party (TLP) where he was made the Party Chairman. He also served as the Member of Parliament for Vunjo constituency on multiple occasions until 2015 when he was defeated in the National election by ames Mbatia of NCCR MAGEUZI. In early 2016 Mrema was appointed by President John Joseph Pombe Magufuli as the chairperson of Tanzania Parole Board.Mrema is a member of the Chaga tribe from Kiraracha Village near Mount Kilimanjaro. He is the second of five siblings.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu

    Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence? Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu? 👇 Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...
  2. Kiturilo

    Mke mpya wa Mrema afunguka mazito, hajawahi kuolewa

    Moshi. Mke wa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema, Doreen Kimbi amesema hakufuata mali kwa mwanasiasa huyo, kwakuwa anayejiweza kiuchumi. Doreen ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 24 baada ya ndoa yao iliyofungwa katika kanisa Katoliki jimbo la Moshi parokia ya Uwomboni mkoani Kilimanjaro...
  3. Nyankurungu2020

    Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  4. N

    Mrema kaona mbali sana, sisi tunapiga mayowe tu kwa kutojua siasa makini

    Mrema ni Mchaga makini sana. Anaweza kubalance biashara, maisha na siasa. Kwa kifupi Mrema ni mwanasiasa mfanyabiashara. Kila alifanyalo analiwekeza kwenye kupata. Pamoja na kuwa mpinzani Mrema ameendelea kutambulika na kila Serikali tangu Enzi za Mkapa wakati Chama chake kilikuwa kinakula...
  5. Chukwu emeka

    Wakatoliki, imekuaje kipindi cha Kwaresma mmefungisha ndoa ya Mrema?

    Habari wana Jukwaa, Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa. Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata...
  6. BigTall

    Baada ya utata wa ndoa mpya ya Mrema, je, ni kweli ndoa zinaruhusiwa Kipindi cha Kwaresma?

    Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma, imebidi niingine chimbo kutafuta majibu. MDAU WA KWANZA (KATEKISTA) Kwanza kabisa nimewasiliana na...
  7. JanguKamaJangu

    Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

    Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro. Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urais wa Tanzania, amekula kiapo cha ndoa katika misa...
  8. Roving Journalist

    Kilimanjaro: Lyatonga Mrema kufunga ndoa Alhamisi Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha

    Siku moja kabla ya kufunga ndoa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Dk. Augustino Mrema amesema kuwa atajaribu kujikokota kuelekea Kanisani na kama itatokea ataishia njiani kutokana na afya yake kutokuwa sawa, anaamini Paroko atajua nini cha kufanya. Mrema amesisitiza kuwa huduma ya Kanisa inapatikana...
  9. Idugunde

    Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

    Picha: Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro. === Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa...
  10. Naipendatz

    Godbless Lema na John Mrema wameizungumzia vizuri sana hii ishu ya Mikopo na Ndugai

    Anaandika Godless Lema: “Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Lyatonga Mrema ni shujaa wa taifa. Alifanya kazi kubwa kudhibiti misingi ya rushwa

    Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani. Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu. My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
  12. Gwajima

    TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  13. D

    Mali za Mrema wa Naura Springs na Impala kupigwa bei kulipa madeni ya wafanyakazi na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Mali za Impala na Naura Spring Hotel mkoani Arusha zitauzwa ili kulipa madeni zaidi ya TZS 1.2B ya wafanyakazi. Mchanganuo: Wafanyakazi wa Naura- 68 Deni- TZS milioni 180 Wafanyakazi wa Impala- 165 Deni- TZS milioni 787.5 Fedha nyingine zitalipwa mifuko ya hifadhi ya jamii.
  14. Analogia Malenga

    #COVID19 Mrema atoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha waumini kuhusu chanjo

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri. Akizungumza jana wakati wa misa...
  15. B

    John Mrema: Tuwatambue Mamluki Wapinga CHADEMA kwenye Runinga

    Habari hii inajieleza wazi: John Mrema amethibitisha baadhi ya utambulisho watu hao. Kwamba tumefikia huku kwenye "impersonation" si haba inaonekana ujumbe unawafikia walengwa. Kwa vile walisema walikuwa hawajasikia - na tupaze zaidi sauti. Aluta Continua.
  16. P

    Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

    Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
  17. T

    Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

    Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
Back
Top Bottom