Wakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.
"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Huyu Mjomba ni msanii hata mbele ya bahasha, anaweza kucheza hadi pesa...