Mrisho Mpoto akienda kupokea bahasha kutoka Kwa Rais Samia

Mrisho Mpoto akienda kupokea bahasha kutoka Kwa Rais Samia

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu

=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.

"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"

Huyu Mjomba ni msanii hata mbele ya bahasha, anaweza kucheza hadi pesa zicheke au ni kama msanii aliyepoteza mwelekeo kati ya usanii na siasa, au ndio kule kulamba asali kwa ustadi wa maneno?

​
 
Sasa Watanzania tutakimbilia wapi?

Nilijua yule mwanajeshi anayekuwa nyuma ya Rais yupo kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania na JWTZ, Kumbe pale Mwenyekiti wa CCM akitaka kuharibu kwenye Mikataba au kutoa Rushwa tena hadharanni hana cha kufanya?!

Kwanini hela za hongo wasingebeba hao usalama wa taifa? Au hawaaminiki?

Nimesikitika sana. Hawa Wasanii wamelipwa. Afanya hivyo kuwapumbaza wasukuma wahisi Tanzania nzima Mwenyekiti wa CCM ndo ana funguo za hela.
 
Kosa la huyo mwanajeshi n lipi mzee, em mseme papa achana na huyo dagaa
 
Nchinishakua comedy

IMG_20250618_170538.jpg
 
Wakuu

=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.

"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Tanzania Big Aibu sana Tena sana ingawa kwa wanufaika ni farqja kwako na familia zao kwa siku chache Daraja Busisi oyeeeeee vizazi kwa vizazi
 
Wakuu

=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha[emoji23].

"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Hii ni zaidi ya mwendo wa Ngiri, yaani hadi suruali inataka kudondoka [emoji23]
 
Back
Top Bottom