Mrisho Mpoto akienda kupokea bahasha kutoka Kwa Rais Samia

Mrisho Mpoto akienda kupokea bahasha kutoka Kwa Rais Samia

Yule askari nae ni chawa na alitaka sifa na kujionyesha tu. Unawezaje kumsachi mtu kwa sekunde mbili na kugundua alipoficha 'kitu' ?
 
Kwa wenye macho ya xray ule ni mkono heavy kabisa
Tenaa heavy haswaaa mkuu ,mpk huyu jamaa aliishiwa pozi baada yakuona hyo bahasha ilivyotunaa😄
downloadfile-5.jpg
 
Hela za Watanganyika zinachezewa tu! Mtaani watu wanalipishwa kodi, kwa ajili ya kuwahonga wasanii!
 
Wakuu

=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.

"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"

Huyu Mjomba ni msanii hata mbele ya bahasha, anaweza kucheza hadi pesa zicheke au ni kama msanii aliyepoteza mwelekeo kati ya usanii na siasa, au ndio kule kulamba asali kwa ustadi wa maneno?
Kilichonikesha ni namna Balozi wa maji alivyokaguliwa kama adui wa Taifa
Kulikua na ulazima gani wa kumkagua wakati mtu anakimbia , je angemparamia waanguke naye si ingekua aibu kwa TISS.
Unakagua kama nina kitu ncha kali ama silaha nafika pale namuwasha mkanda washwaaaaaaaaaaaaaaa au tuseme Mrisho Mpoto sumu ameeka kwenye mikono si ndo Samia hiyo imeeenda
Kuna namna ukaguzi ufanyike kisayansi bana.
 
Back
Top Bottom