Asalaam Aleykum wana JF.
Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja.
Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye...
Nassary alikuwa kijana machachari Sana kutoka huko Arusha, alikuwa anajenga hoja na kusimamia serikali. Toka nimwone jukwaani akimnadi JPM sijawahi kimwona tena sijui kama yupo nchini au anafanya kazi nje; huyu kijana pamoja na Masele NI watu ambao hakuna siku watamsahau Ndugai. Ndugai alimvua...
Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo amedumu madarakani kwa muda mrefu akijaribu kumfukuzia Baba wa Taifa kwa muda ambao aliiongoza TANU hatimaye CCM tangu uhuru hadi alipoamua kung'atuka kwa hiyari yake.
Ingawa tuampiga mishale mingi bwana Mbowe...
Salaam kwenu,
Niko kwenye ndoa mwaka wa 8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi na mwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti.
Mwezi huu kukatokea agizo la kuhuisha taarifa za wafanyakazi ili ziwe za kisasa na halisia kuliko mwanzo.
Zoezi hili...
Upigaji kura kwa njia ya Mtandao katika Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Conservative ili kumpata Mrithi wa Boris Johnson umecheleweshwa baada ya wataalamu wa Mtandao wa Serikali kuibua wasiwasi juu ya uwezekano wa udukuzi wa kura
Wataalamu hao wamedai kuwa Wadukuzi wanaweza Kubadilisha idadi...
Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA. Kumekuwa na taarifa kuwa Mohammed Adil Erradi, amefika Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi...
Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi...
Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.
Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.
Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.
Njaa za kushibisha matumbo njaa!
Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake.
Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri...
Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.Image caption: Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.
Kundi la Islamic State (IS) limemtaja kiongozi...
Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini akaapa Kwa Mwenyenzi atotenda kinyume na Imani yake akasaliti wito aliopewa na Mwenyenzi MUNGU katika...
Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja na kutotaja nafasi hiyo lkn ishara inaonesha ni nafasi ya Ubunge Mwaka 2030 wakati yeye akigombea URais.
Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa Bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika Kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni.
Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa Tanzania lakini hii ilikuwa kwajili ya silaha yetu ya bei rahisi ya data, kwa sasa mambo yamebadilika...
Wanaspoti
Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka leo hujawahi kupata mrithi?.
Tujikumbushe enzi zake
Video kwa hisani ya Aboubakar Liongo.
Soma...
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67...
Huko kwenye viunga vya Instagram tayari Mchungaji wa taifa na nabii komandoo Mashimo ametamka wazi kwamba kijana na kada wa CHADEMA, kamanda Malisa GJ kuwa mrithi wa RC mstaafu Baba Keagan. Mimi kama mwanafunzi wa shule ya uongozi chini ya mwalimu mkuu Komredi POLEPOLE nimefurahishwa na tamko...
Elias Mpedi Magosi
Elias Mpedi Magosi ameidhinishwa kukalia kiti cha Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), akimrithi Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Mtanzania aliyehudumu nafasi hiyo tangu mwaka 2013. Dkt. Tax ni mwanamke wa kwanza kabisa kuiongoza SADC katika...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo.
Pia soma:
Mtozi Alloyce...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.