Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru.
Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake.
Shukrani.
Salamu wakuu
Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu
Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa
Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila...
Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa
Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
Ni matumaini yangu nyote mko salama.
Ingawa nipo na ID mpya, mimi ni mwanachama wa muda mrefu.
Mimi ni mwanaume, na nimejikuta katika hali ya kulea pacha ambao mama yao aliwaacha wakiwa na mwaka mmoja na nusu. Wakati huo nilikuwa Dar es Salaam kwa shughuli za kutafuta riziki. Niliamua...
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia.
Sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki, sasa je nitaweza vipi kuthibitisha...
JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa?
Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati
Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi
Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe.
Nataka...
Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
Naomba kusaidiwa
Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za nusu inchi na 2 za robo tatu) lakini changamoto ni kiasi cha maji yanayotoka kwenye water tap hizo...
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;
Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'
Mimi ndiyo naanza kujifunza'
Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.