Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua itanifikia hadi huku maana mara ya mwisho nilitumia posta ilifka had huku.Cha ajabu kufikia tarehe 03/10...