msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Msaada namna ya kubadilisha BIOS password

    Habari za mda wadau wa jf. Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button. Kwa mda mrefu nilikuwa...
  2. Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto?

    Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto? Nimezaa na Binti mmoja kutoka SINGIDA kiufupi Nalazimishwa kufunga ndoa na mhusika lakini Binafsi sipo Tayar ktk Hilo kutokana na tabia alizokuwa kuwa NAZO. Huyu Binti amekuwa Jeuri, kiburi, hashauriki kwachochote Mm...
  3. Kila ikifika saa nane naota wezi ba napiga kelele msaada pls wiki sasa nasali sana usikupia

    Naitwa sherry Na umri wa miaka 35 Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku..... Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na...
  4. Umetoa msaada ndiyo hatukatai sasa ni kwanini utangaze?

    Mungu ni mwema nyote. Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa misaada ni mizuri pale inapohitajika hasa unapokuwa na shida bila shaka ukipata utatuzi wa shida yako utafurahi sana na kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa ni hii ya kutangazwa yaani aliyekupa huo msaada anaanza kujisema tena na anasema...
  5. Msaada kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu. Natanguliza shukrani...
  6. Msaada ufafanuzi Kodi ya Mapato Yatokanayo na Ajira

    Habari familia, kuja jambo linanitatiza, kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni? Maana unakuta anayelipwa Gross...
  7. Msaada wakuu kuhusu utaratibu wa kupata cheti cha ndoa Rita

    Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
  8. D

    Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

    Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc. Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua. Nawasilisha.
  9. Aliyeninyima Connection jana kaja kuniomba msaada

    Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022, ofisini kwa DC kwa yule Dada ambaye sasa hivi ni Don kule kwenye Chama cha kijani kibichi upande wa...
  10. M

    Msaada wa rehabilitation centre (rehab) inayopatikana Boma Ng'ombe Karibu na KIA, Kilimanjaro

    Inakuwaje wanajamvi? Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku. Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana Boma ya Ng'ombe Karibu na Kia kilimanjaro. Please Wadau naomba maelekezo kwa yoyote anayeijuwa...
  11. B

    Waziri Ridhiwani Kikwete apokea msaada wa vifaa tiba na madawati kutoka NMB

    Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani amepokea msaada wa vifaa tiba kwa...
  12. Naomba kujua mabadiliko yaletwayo na P2

    Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2 Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha Wazoefu mnaofahamu haya mnipunguzie hofu hapa nahemea mashine yaani
  13. Wakuu msaada wenu Samsung inaandika hivi

  14. Msaada wa technology

    Habari, Naitaji mtaalamu anayejua kutengeneza website na aka unda mfumo wa hosting reseller..... Nitext WhatsApp 0678650509
  15. Jamani msaada Tafadhali

    Nacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti changu naweza kujiunga chuo kikuu ? Au kitakuwa hakitambuliki
  16. Napata changamoto hii nikiwa natumia X (Twitter) Msaada tafadhali!

    Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like. Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya...
  17. Nina changamoto nayopitia ya mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi

    Hellow members natumaini mko poa kabisa _Kama kijana mtanzania ninae ipambania kesho yangu ,kijana wa kimaskini ambae natamani siku moja nifanikiwe pia niwe daraja la mafanikio kwawengine ila changamoto nayopitia ni mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi...
  18. M

    MSAADA WAKUU

    Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…