msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wajuzi wa simu na telegram

    Kuna kitu nataka kuangalia hapa sasa inaonyesha ivi kama unajua nielekeze hapa au kama hapa uwezo pm iko wazi msaada
  2. Wakuu msaada wenu tafadhali,

    Habari za mda huu,. Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space imejaa,. Kila kitu kimefutika icluding messages, contacts na kila kitu... Nimeweza kurudisha contacts...
  3. M

    Msaada tafadhali: Maumivu makali ya mgongo ninapoinamisha Kichwa chini au kuangalia juu

    Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa. Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
  4. Naumwa sana: Nimefika Pemba ili nitibiwe kienyeji, naombeni msaada wa Mtaalamu

    Habari zenu. Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili. Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu. Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini. Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi. Kama...
  5. Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

    Habari , Hope mko poa Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ? Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa...
  6. Msaada muda wa kubadili oil kwenye gari.

    Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na...
  7. WATANZANIA WENZANGU NAOMBENI MSAADA WENU

    Jamani life limenichapa miezi kadhaa iliyopita nilifunga biashara yangu ya picha, vifaa nikarurdisha nyumbani. Leo nimeamua kuuza vifaa vyangu ili maisha yaendelee Nina camera canon D 550 Studio picture background yenye vitambaa vinne na taaa Na boon mic Panasonic Vyote naitaji laki 9 tu...
  8. Msaada wa ku update simu

    Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
  9. Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo?

    Habari wakuu Je, Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo maana clearance nimemaliza na vyeti bado havijatoka, natarajia kusafiri kwenda Marekani keshokutwa. Nataka mtu anichukulie aende na power of attorney na karatasi ya clearance halafu atakuja nacho Marekani...
  10. KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

    Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda. Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia. Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini...
  11. M

    Msaada wa Katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu kwenye mikopo ya Halmashauri

    Nianze kwa salaam Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri nimejaribu kwenda kwa mawakili lakin wanataka hela nyingi na uwezo huo Sina Hivo nikaona nije hapa JF Kuna...
  12. Naomba msaada kwa wenye usafiri wa kwenda Bukoba kesho.

    Wakuu nimeitwa Usaili Bukoba , baada ya kusambaza CV yangu Ila changamoto nilionayo ni nauli tu. Kama unaweza nisapoti lift nitashukuru Sana . Au Kwa namna yoyote ile.
  13. C

    Naomba msaada wa kukutanishwa na tajiri Chief Godlove na Tajiri Chui

    Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
  14. U

    Msaada kuhusu kipimo hiki cha matatizo yote ya mwilini

    Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la kiafya ninaomba wataalamu njooni mnielimishe kwani kama mnavyojua sasa hivi "afya" imegeuzwa ni...
  15. Msaada kwa wenye Ujuzi na uelewa kuhusu policy za warranty za electronic devices

    Habari za wakati huu wana Jf. Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika nyumbani nimeiwasha nimeunganisha wifi nacheki video youtube ikazima yenyewe, Yaani taa nyekundu upande wa...
  16. Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

    Salaaam ndugu zangu wa JF. Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo. Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
  17. Msaada wa soft coppy ya kitabu cha "stop lying to yourself" by Simon Gilham.

    Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
  18. Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Hivi nikitaka kujiunga UTT amis ni lazma niende ofisini kwao?? Na je, mfuko gani una return nzuri?
  19. Msaada kupata visa za Egypt, Algeria na Morocco

    Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii. Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani? Niko Tanga, Tanzania Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi. Ningependa kwa wenye...
  20. A

    Msaada wa tiba ya vipele tumboni

    Kuna vipele vimetokea sehemu ya tumbo kwa pembeni kila nikijikuna vinaongezeka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…