Natafakari tu hapo
Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa?
Baada ya kulipa ada?
Siku ya kuzaliwa CCM?
Siku ya wajinga (1/4/2025)
May Mosi?
Embu wajuzi mtuambie?
Ni hivi mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿
Je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya 2025 members wote
Ndugu wana Jamvi !
Mimi nimevuka salama kabisa
Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe
Jibu hilo swalii.
Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea.
Mboye nayeye anagombea kama wewe
Na wanotoa ushind ni wajumbe
Sasa kwanini unakuwa na wasiwasi kila...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu
Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
Habari wakuu
Pc yangu aina ya Lenovo imekumbwa na virus hali inayo sababisha kuwa nzito, movie ku-scratch, kujitype yenyewe mfano kwenye search bar yani mambo ni mengi mno.
Nimejaribu mara kadhaa kuipiga window lakini sijapata mafanikio yoyote bado hali ipo vilevile naombeni msaada wenu...
Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi;
1.Uharaka katika kufanya malipo.
2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika.
3.Usaidizi wakati wa kuegesha
4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi...
Habari za majukumu wanaJF,
Kama title isemavyo, PC angu imezima leo na imeanza kwa kujiandika maneno hayo kama inavoonekana kwa picha then maandishi mekundu ambayo haikuchukua muda ikazima a haiwaki tena. But taa ya POWER na kitufe cha CAPS LOCK nacho kinawaka uki press Powe button.
Naomba...
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa...
Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary
Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary
Natanguliza Shukrani
Habari ndugu zangu.
Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu.
Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
Jiulize mtoto
1. Aliyebakwa
2. Aliyelawitiwa
3.Aliyetelekezwa na wazazi
4. Aliyekataliwa
5. Aliyeshuhudia baba akimpiga mama.
6. Aliyeshuhudia mama akimpiga baba
7. Aliyeshuhudia baba na mamá wakipigana
8. Aliyeshuhudia baba na mamá wakitukanana,kutoleana maneno machafu n.k
9. Aliyeshuhudia baba...
Habarini ndugu zangu,
Naomba kujua makisio ya gharama ya msingi na first floor kwa square meter.
Naelewa gharama ya msingi inatofautiana na mambo mengi,ila kwa sasa nataka kujua makisio tu ya karibu na gharama halisi.
Asanteni sana kwa mda wenu.
Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si salama kwa Afya zao,kwa kuwa mara nyingi wanachangia na mifugo.Maji haya kwa hiyo si salama na ni...
Hapo pichani ni Submeter ya Umeme niliyoikuta kwenye nyumba ya kupanga
Ina namba ya mita yenye tarakimu sawa na ya TaNeSCo.
Naomba kufahamu Inafanyaje kazi
Habar gan wakuu
Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
Hi wana jf.
Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).
Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.
Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.