Kuna hako ka Pembe tatu karibu na Bar za Network naomben Kujua zinamaanisha nn maana nimejaribu kuzitoa nimeahindwa
Nina wasiwasi isijeikawa wameni track
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa.
CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
Anonymous
Thread
kagera
kujua
kwani
majibu
malipo
msaada
nani
naomba
vita
vita ya kagera
yangu
Kiukweli nimepambana lakini naona pekee yangu siwezi naombeni msaada watanzania wenzangu.
Elimu yangu ni kidato cha nne ninae jitambua na mpambanaji kweli.
Licha ya hapo nina elimu ya heavy machine operator nimedeal hasa na excavator, wheelloader pamoja na lloler au compactor hizo fani nina...
Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
Pamoja na mshahara anaopata anajitahidi kupambana nje yakazi na...
Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui
Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua.
Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie
Ni issue muhimu sana
Nimefanikiwa
Habari wanajamii,
Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿,
Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
Habari wakuu
Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar.
Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha, anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma.
Habari za muda huu wakuu,
Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno.
Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo naenda kutoa pesa achilia mbali makato yao hii hali inanifanya pia nitimize malengo kwa muda mrefu...
Habari wadau,
Nimekwama hapa, mana hakuna check engine light inayowaka.
Gari inalia knock kwa mbali lakini nikiwa naendesha, huwa inapotea, ila nikisimama naanza kusikia mlio wa knock. Saa nyengine nikiwa idle, hakuna mlio wa knock kabisa, engine inanguruma vizuri tu, na sometime ikiwa idle...
Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe.
Kuhusu vigezo
Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash.
Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu.
Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent
Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and...
Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS.
Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana.
Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa.
Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇
---
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba..
Karuka, na kudai tuwe marafiki.
Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane.
Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo
Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada.
Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.