Naamini mko njema wakuu
Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi
Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto
Kingine niliamini mwanamke akianza kua na kipato binafsi na mamlaka kamili anakua ni mtu wa kujiamini na kutopenda kukosolewa lakini hata uvumilivu hua anakua nao mdogo
Kingine anakua ni mtu wa kujichanganya na watu wengi(mafisi) asipokuwa na akili mafisi watasumbua sana
Kingine muda wowote anaweza hamishwa kikazi ikapelekea kikwazo cha umbali (distance relationship)
Japokuwa nilikuwa sipendelei hiki kikombe kinikute, mara ghafla imetokea! Aliyekua hana kazi amepata kazi(shida zimeanza), aliyekuwa akinikosea anaomba msamaha na kutoa machozi. Wasiwasi unaanza sijui atabadilika?
Aliyekuwa akienda kanisani kuombea mahusiano yetu na kufunga hata siku 3 sijui akili itabadilika
Mbaya zaidi katupwa mpakani, mimi nipo kusini yeye kaskazini. Probability ya kuwa pamoja haizidi mara kumi kwa mwaka(changamoto)! Huu ni mtego/jaribu kwa kila mmoja kwani nauli tu kwenda na kurudi inagharimu 400k (mara kumi ni kama 4M) kwa uchumi huu wa Trump ni changamoto.
Lakini nawaona wadau kibao wanatoboa wameoa wake wao wapo kule na wao wapo kule na wana-survive.
Wakuu kutokana na uoga nilionao, nipeni uzoefu wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi maana mimi kumnyenyekea mwanamke haijawahi kutokea