Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

Hiyo 400k ya nauli unayoiona ni nyingi, itumie kama kipimo.

Katika mahusiano, distance huwa inafanya kazi moja "It exposes the truth."

Kama alikuwa anakuombea na kufunga akiwa hana hela, sasa hivi ndio utajua kama alikuwa anakuombea wewe au alikuwa anamuomba Mungu ampe mchongo ili akukimbie.

Usiwe mtu wa kumpigia simu kila saa kuuliza "Umekula nini?", "Uko na nani?" Unafanya nini?"

Maintain your mystery. Acha yeye ajiulize kuhusu wewe huko Kusini unafanya nini.

Umbali unahitaji high level psychological warfare, sio kulialia.
 
Wenye ndoa wanatamani kutoka ndio maana inaitwa pingu za maisha !

Ambao hawana ndoa wanaitamani sana!

Life
683FEDF7-75DA-49FE-A03C-DD64FABBACA6.jpeg
 
tafuta elimu ya unajim kisha chagua unae endana nae kijina na nyota ya tarehe . vingine hivyo ni ngonjera tu...oa yule ambae nyota zinaendana na shart ni mkae wote hao wa mipakan ni uhuni ndoa gan mnakutana x10 kwa mwaka ? . .michepuko itakua ni balaa.
 
Naamini mko njema wakuu

Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi

Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto

Kingine niliamini mwanamke akianza kua na kipato binafsi na mamlaka kamili anakua ni mtu wa kujiamini na kutopenda kukosolewa lakini hata uvumilivu hua anakua nao mdogo

Kingine anakua ni mtu wa kujichanganya na watu wengi(mafisi) asipokuwa na akili mafisi watasumbua sana

Kingine muda wowote anaweza hamishwa kikazi ikapelekea kikwazo cha umbali (distance relationship)

Ijapokuwa nilikua sipendelei hichi kikombe kinikute mala gafla imetokea,aliyekua hana kazi amepata kazi(shida zimeanza),aliyekua akinikosea anaomba msamaha na kutoa machozi wasiwasi unaanza sijui atabadilika?Aliyekua akienda kanisani kuombea mahusiano yetu na kufunga hata siku 3 sijui akili itabadilika

Mbaya zaidi katupwa mpakani mimi nipo kusini yeye kaskazini probability ya kua pamoja haizidi mala kumi kwa mwaka(changamoto) huu ni mtego/jaribu kwa kila mmoja kwani nauli tu kwenda na kurudi inakosti 400k mala kumi ni kama 4M,kwa uchumi huu wa Trump changamoto

Lakini nawaona wadau kibao wanatoboa wameoa wake wao wapo kule na wao wapo kule na wanasurvive

Wakuu kutokana na uoga nilionao nipeni uzoefu wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi maana mimi kumnyenyekea mwanamke haijawahi kutokea
Umefanya jambo zuri sana kujiandaa kisaikolojia. Kwa ufupi yote unayoyawaza ndiyo yatakuja kutokea siku za usoni. Na kama na wewe ni muajiriwa, basi kazi ipo.

Au ufanye uhamie huko Kaskazini aliko ukalinde mali yako.
 
Naamini mko njema wakuu

Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi

Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto

Kingine niliamini mwanamke akianza kua na kipato binafsi na mamlaka kamili anakua ni mtu wa kujiamini na kutopenda kukosolewa lakini hata uvumilivu hua anakua nao mdogo

Kingine anakua ni mtu wa kujichanganya na watu wengi(mafisi) asipokuwa na akili mafisi watasumbua sana

Kingine muda wowote anaweza hamishwa kikazi ikapelekea kikwazo cha umbali (distance relationship)

Ijapokuwa nilikua sipendelei hichi kikombe kinikute mala gafla imetokea,aliyekua hana kazi amepata kazi(shida zimeanza),aliyekua akinikosea anaomba msamaha na kutoa machozi wasiwasi unaanza sijui atabadilika?Aliyekua akienda kanisani kuombea mahusiano yetu na kufunga hata siku 3 sijui akili itabadilika

Mbaya zaidi katupwa mpakani mimi nipo kusini yeye kaskazini probability ya kua pamoja haizidi mala kumi kwa mwaka(changamoto) huu ni mtego/jaribu kwa kila mmoja kwani nauli tu kwenda na kurudi inakosti 400k mala kumi ni kama 4M,kwa uchumi huu wa Trump changamoto

Lakini nawaona wadau kibao wanatoboa wameoa wake wao wapo kule na wao wapo kule na wanasurvive

Wakuu kutokana na uoga nilionao nipeni uzoefu wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi maana mimi kumnyenyekea mwanamke haijawahi kutokea
Boss wangu mmoja wa kimanga aliwai nambia nanukuu... "DISTANCE LOVE IS IMAGINATION""

MWISHO WA KUNUKUU
 
Mimi nilieoa form four (sijui kama ni form four failure au lah) nitulie nione wadau wanashauri nini,maana naweza nikatia neno nikaonekana akili sina.
 
Hiyo 400k ya nauli unayoiona ni nyingi, itumie kama kipimo.

Katika mahusiano, distance huwa inafanya kazi moja "It exposes the truth."

Kama alikuwa anakuombea na kufunga akiwa hana hela, sasa hivi ndio utajua kama alikuwa anakuombea wewe au alikuwa anamuomba Mungu ampe mchongo ili akukimbie.

Usiwe mtu wa kumpigia simu kila saa kuuliza "Umekula nini?", "Uko na nani?" Unafanya nini?"

Maintain your mystery. Acha yeye ajiulize kuhusu wewe huko Kusini unafanya nini.

Umbali unahitaji high level psychological warfare, sio kulialia.
Sahihi ndio maana nimeleta jf the home of great thinkers
 
Back
Top Bottom