kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
kmmk .. jichanganye... nenda ukitaka yani sio ushawishi wa familia au marafiki
kmmk .. jichanganye... nenda ukitaka yani sio ushawishi wa familia au marafiki
Eti hawezi kumnyenyekea mwanamke utafikiri yeye Bakhresa!Wewe una mke mzuri sana tatizo liko kwako!
Sasa omba mkeo aendelee na huo ulokole wa kufunga siku 3 anaombea mahusiano!
Inaonyesha wewe ni mtemi, unapenda kunyenyekewa. Sasa omba hayo awe aliyafanya kwa mapenzi na sio kukosa pa kwenda!
Kabla mkeo hajawa konki masta, badilisha tabia zako kuwa mume mwema na ndoa yenu itaendelea kuwa tamu bila kujali umbali!
Sahihi kabisa! Kwanza ukiona tu inaanza kukutia mashaka siyo yako! Yani mimikmmk .. jichanganye... nenda ukitaka yani sio ushawishi wa familia au marafiki
Ndoa tamu bwana, Muulize chivundu.
Ndoa tamu bwana, Muulize chivundu.
demerits nyingi kuliko merits 🚮Ndoa tamu bwana, Muulize chivundu.
Mkuu yeye ndio alinifosi nilikua sina hata muda ndio maana kunamda nawaza nisije ingizwa mjini ikala kwangu MazimaKama ulifosi akupende LAZIMA Uwe na wasiwasi na unaachwa
Ila kama mlipendana, usihofu kabisa. Mwambie akae hata miaka 5 kabisa.
Ulazima upo maisha muimuKwani ni lazima afanye hiyo kazi?
Fimbo ya mbali haiui NYOKA Mkuu.Naamini mko njema wakuu
Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi
Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto
Kingine niliamini mwanamke akianza kua na kipato binafsi na mamlaka kamili anakua ni mtu wa kujiamini na kutopenda kukosolewa lakini hata uvumilivu hua anakua nao mdogo
Kingine anakua ni mtu wa kujichanganya na watu wengi(mafisi) asipokuwa na akili mafisi watasumbua sana
Kingine muda wowote anaweza hamishwa kikazi ikapelekea kikwazo cha umbali (distance relationship)
Japokuwa nilikuwa sipendelei hiki kikombe kinikute, mara ghafla imetokea! Aliyekua hana kazi amepata kazi(shida zimeanza), aliyekuwa akinikosea anaomba msamaha na kutoa machozi. Wasiwasi unaanza sijui atabadilika?
Aliyekuwa akienda kanisani kuombea mahusiano yetu na kufunga hata siku 3 sijui akili itabadilika
Mbaya zaidi katupwa mpakani, mimi nipo kusini yeye kaskazini. Probability ya kuwa pamoja haizidi mara kumi kwa mwaka(changamoto)! Huu ni mtego/jaribu kwa kila mmoja kwani nauli tu kwenda na kurudi inagharimu 400k (mara kumi ni kama 4M) kwa uchumi huu wa Trump ni changamoto.
Lakini nawaona wadau kibao wanatoboa wameoa wake wao wapo kule na wao wapo kule na wana-survive.
Wakuu kutokana na uoga nilionao, nipeni uzoefu wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi maana mimi kumnyenyekea mwanamke haijawahi kutokea
Ni kuishi kwa akili tu kupunguza wasi wasi na kujifanya uko single ilihali unajua yanayojiriFimbo ya mbali haiui NYOKA Mkuu.
Andika maumivu tu.
Hao viumbe ni mtihani sana ndiyo maana bible ikasema tuishi nao kwa akili.
Akiwa mbali na wewe UHAKIKA wa Kuchapwa ni 99.99%
Huu ni ubinafsi sasa, khaaahJiandae kisaikolojia
Hakuna mahusiano ya mbali
Ndoa nyingi za wafanyakazi waliohamishiwa Dodoma zimeshakufa au kuyumba hovyo.
Najua una Majibu tayari ila hapo hakuna mahusiano Tena.
Kosa ulilokosea ni kuikana Imani uliyokuwa unaiamini kuhusu mwanamke kukaa nyumbani. Pigania Imani yako.
Haswaaa.Wewe una mke mzuri sana tatizo liko kwako!
Sasa omba mkeo aendelee na huo ulokole wa kufunga siku 3 anaombea mahusiano!
Inaonyesha wewe ni mtemi, unapenda kunyenyekewa. Sasa omba hayo awe aliyafanya kwa mapenzi na sio kukosa pa kwenda!
Kabla mkeo hajawa konki masta, badilisha tabia zako kuwa mume mwema na ndoa yenu itaendelea kuwa tamu bila kujali umbali!
[emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sanaa. LolKama Uko Songea na Yeye Yuko Arusha, Ndoa iko hatarrini, Nauli kwenda na Kurudi ni Laki tano[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sanaa. LolKama Uko Songea na Yeye Yuko Arusha, Ndoa iko hatarrini, Nauli kwenda na Kurudi ni Laki tano[emoji23][emoji23]
Kumbe unasumbuliwa Ego, Poleee sana bwasheee.Sio kunyenyekewa kifupi ukizingua nakuzingua hapo hapo haijalishi cheo muonekano wala pesa
Usjali Ijumaa inaenda vizuri usiwe serious kiivoKumbe unasumbuliwa Ego, Poleee sana bwasheee.