Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

Kabla ya yote, kitakachoangusha ndoa yako ni mtazamo ulionao juu ya mwanamke akiwa na kazi. Utaanzisha fujo wewe na kumwona mke wako kwenye engo uliyokuwa nayo juu ya 'mwanamke mwenye kazi.'
Alafu mambo mengine yatafuata kuangusha ndoa yako, ukiwemo ugomvi wa mara kwa mara kutokana na wasiwasi wako.
 
Thanks nayafanyia kazi mkuu,naanza kua mpole
 
Kule kwetu usambaani tunaoa halafu tunawaacha kijijini tunakuja mjini kutafuta kazi yetu kuwapa mimba analea mm nipo town mtoto akikua naenda nampa mimba nyingine narudi kutafuta ivo tu
 
Mke ni "Mindset" yake! Hizo zingine ni blah blah tuu. Hakuna kanuni kwenye kuoa. Tafuta mwanamke mwenye "Mindset" nzuri bila kujali ana kazi au hana, mchumbie, muoe, mpende afu furahia maisha.
Unajua wewe uzingatiwe sana, kwenye mambo ya ndoa na mahusiano lazima useme hili jambo…. Tafuta mwanamke wa level yako muone… mpende…

Nimekusoma mara nyingi sana, kudos.
 
Kule kwetu usambaani tunaoa halafu tunawaacha kijijini tunakuja mjini kutafuta kazi yetu kuwapa mimba analea mm nipo town mtoto akikua naenda nampa mimba nyingine narudi kutafuta ivo tu
Safi sana
 
Hakina principal ya kuishi na mwanamke wa aina hyo. Inategemeana na akili yake, wapo wengne wastaarabu na wanaheshimu ndoa zao na heshima kwa mume wake haishuki.

Lakn kuna wengne ndio wanaota mapembe na unaweza kujua kila aina ya rangi yake.
Kikubwa omba Mungu tu ailinde ndoa yako.
Lakn pia hata wewe punguza wasiwasi.
Kama ulikuwa hujazaa naye mchape mimba za fasta, angalau afikishe hata watoto watatu au wanne
Ndio akizalishwa watoto hata watatu anakua mtulivu kidogo
 
Yaani yeye kashawaza atazinguliwa kabla hata hajazinguliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasemaga wanawake wana insecurities ila za wanaume ndo kiboko kabisa!
Wanatakiwa kuhurumiwa kabisaa, Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom