Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,775
Reaction score
71,893
The Financial Times linasema:

Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake ililipuliwa jana, tarehe 4 Mei 2026.

Korea Kusini imesema bado inaendelea kufanya uchunguzi wa chanzo cha mlipuko, na itaamua kujiunga na Oparesheni hiyo baada ya kuzingatia sheria za kimataifa.

=================================================================================
​

Seoul reviewing whether to join US-led effort to reopen Hormuz​

Seoul struck a cautious tone after Donald Trump urged South Korea to join a US-led effort to secure the Strait of Hormuz after an explosion on a South Korean-owned vessel in the region.

A Blue House official said on Tuesday that the government was reviewing Washington’s proposal to join so-called Project Freedom, while taking international law into account.

The response follows an explosion and fire on Monday on a vessel anchored in the Gulf. The official said Korean authorities were “working to determine the cause” of the incident, in which no casualties were reported.

Trump made a similar plea in March, asking five countries including South Korea and the UK to “send warships” to Hormuz.
Seoul To the Rescue.png

=====================================================================================

KUMBUKIZI: Mwaka juzi 2024, Urusi aliomba msaada Korea-Kaskazini kuja kumsaidia kupambana kule Kursk. Wengi walisema Urusi siyo taifa lenye nguvu kwasababu haliwezi kupambana na Ukraine. Niliwaambia watu kwamba hilo ni jambo la kawaida kwenye masuala ya ulinzi na usalama. Kuna siku mataifa makubwa huwa yanazidiwa na vita. Ila MABAZAZI na MADUNYA wakaniangukia kama kipanga na kunifurumushia mitusi.

Leo sasa hata Marekani naye ameenda Korea-Kusini akitafuta msaada kuungwa mkono baada ya NATO kumkatalia kijiunga na hii vita.

MUDA NI MWALIMU MZURI SANA........

View attachment 3584345

Only an idiot believes that military force can be used to reopen the Strait of Hormuz. It’s too expensive and extremely risky!

Halihitajiki jeshi lenye nguvu kubwa sana kuifunga Hormuz. Hata Houthis wakiamua wanaweza kuifunga Hormuz na commercial ship owners hawatakuwa tayari kuhatarisha meli zao kwa kukaidi.
 
Only an idiot believes that military force can be used to reopen the Strait of Hormuz. It’s too expensive and extremely risky!

Halihitajiki jeshi lenye nguvu kubwa sana kuifunga Hormuz. Hata Houthis wakiamua wanaweza kuifunga Hormuz na commercial shippers hawatakuwa tayari kuhatarisha meli zao kwa kukaidi.
The Houthis and their rag-tag militias were able to stop shipping at the Red Sea.

America and Israel tried but failed to make them relent.

Iran with a potent military force 1000 times than Houthis will surely wreak havoc against Americans.
​
 
South Korea wanashika nafasi ya tano katika global firepower index huku Israel ikiwa ya 15.

South Korea na wao wana modified/customized versions za figter jets za kimarekani kama F-15 na F-16 kama Israel inavyofanya.

Hata Saudia , Japan, Singapore, Qatar, UAE na Taiwan wana modified versions za ndege za kimarekani. Hasa F-15 na F-16.

Mfano F-15E ya US kwa Saudi wanaita ni F-15SA(Saudi Advanced), kwa Japan wana F-15J, Singapore wana F-15SG, Qatar wana F-15QA, Taiwan wana F-15V(Viper) n.k hawa wote ni washirika wazuri wa US.

Hapo sioni maajabu lakini tu South Korea wana ballistic na cruise missiles zao za Hyunmoo series au monster missile, Mfano Hyunmoo-5 missiles zinabeba warhead yenye uzito wa ton 8 hadi 9 ni kama bunker buster maana ina penetrate kama mita 100 hivi kwenye concrete ngumu kama mwamba na wameitengeneza mahususi kulenga makao makuu ya kiuongozi ya North Korea yaliyopo chini ya ardhi.

Hilo kombora lina speed ya mach 10 wakati linakwenda kulenga target.. na lina range ya 600KM.

Hyunmoo-4 ina range ya 800KM inabeba warhead ya tani mbili.

Kwenye cruise missiles wana missiles kama Hyunmoo-3 ambayo haina tofauti sana na Tomahawk ya kimarekani ambayo sasa US wameishiwa.

Wana Hyunmoo 3C ambayo ina accurate kubwa na kwenda hadi umbali wa 1500KM, wana makombora pia ya ku launch kwa meli kama Haesong II na III.

Tuje kwenye hoja muhimu, kwanini hawa washirika wa US wananunua ndege za US na kuzi modify, ni kwa sababu ili ziendane na mazingira yao na mahitaji. Mfano Israel ili modify F-15 iweze kuendana na mazingira yake kijiografa na kimatumizi.

Na wanafanya hivi ili kuwa na silaha ambazo wanaweza kuzitumia dhidi ya maadui zao ambpo mara nyingi ni majirani au wapo kwenye ukanda mmoja.

Nachoweza kusema ni kwamba silaha nyingi za South Korea ambao ni domestic made zimetengenezwa kukabiliana na North Korea hata ukiangalia range zake na sifa zake.

Range kati ya Iran na South Korea ni kama 6500KM, Range ya Israel na Iran ni kama 1600KM au zaidi. Ndio maana Iran wana missiles nyingi za 2000KM range ambazo zinaweza ku cover Israel mahala popote.

Nachoweza kusema ni kwamba, South Korea ikiingia kwenye huu mgogoro sidhani kama kuna maajabu yeyote, na sifahamu watatumia base ipi na ndege zipi..

Namaanisha SOuth Korea anaingia kwenye mgogoro ambao hakujiandaa nao, kwa kifupi atakurupuka, atatumia silaha za EU na US kama hizo cruise missiles za kubebwa na ndege. Active personnel ni kama 569K huku reserve wakiwa 3.1 million, kiukweki wana askari wengi.

Lakini kijiografia, historia, maandalizi na aina ya silaha walizonazo huu mgogoro ni kama hauendani na maandalizi ya jeshi lao. Hayo ni mawazo yangu binafsi.

Kuhusu nuclear hawana, ndege wanazo kama 1540 huku Israel wakiwa na ndege kama 530 hivi...
 
Back
Top Bottom