Wanaukumbi.
Operesheni ya Marekani ya kuongoza meli zilizokwama kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz itasitishwa kwa "muda mfupi," Rais Donald Trump alitangaza Jumanne jioni.
Trump alisema kwamba "Uhuru wa Mradi", ambao ulianza siku chache zilizopita, utasitishwa na "makubaliano ya pande zote" kwa...
The Financial Times linasema:
Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
Meli zinazopita kwenye mfereji wa Hormuz zimepata shambulio kubwa kwenye mfumo wake wa Global Position System (GPS). Inasemekana hili limepelekea meli nyingi kupata changamoto katika kujiongoza zikiwa baharini. Wataalamu wanasema hii inatokana na shambulio la maksudi (Jamming) ambalo linazuia...
Baada ya tangazo la Trump kuwa Marekani inaufungua mlango wa Hormuz kwa nguvu na kuwa itazilinda meli zitakazopita, meli za Marekani zimekuwa zikipita bila kizuizi, huku meli za mataifa mengine zikihofia kupita.
Jana Jumatatu, tarehe 5 May 2026, wakati meli za Marekani zikipita kwenye mkondo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.