Mfereji wa Hormuz: Meli zaidi ya 470 zimepata shambulio kubwa la mfumo wa GPS

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,775
Reaction score
71,893
Meli zinazopita kwenye mfereji wa Hormuz zimepata shambulio kubwa kwenye mfumo wake wa Global Position System (GPS). Inasemekana hili limepelekea meli nyingi kupata changamoto katika kujiongoza zikiwa baharini. Wataalamu wanasema hii inatokana na shambulio la maksudi (Jamming) ambalo linazuia mawasiliano ya kisatelaiti.

RAI YANGU: Kama aina hii ya shambulio limeweza kufanywa na Iran, basi amefikia hatua ambayo sidhani kama kuna mbinu ya kuweza kumdhibiti. Aidha Marekani atumie silaha za maangamizi (WMDs) jambo ambalo ni hatari kwake, au akubali kuchutama yaishe, jambo ambalo ni baya zaidi kwake.

================ For English Audience ===========​

Hundreds of vessels were seen clustering near Dubai on Tuesday, as more ships moved away from a still-empty Strait of Hormuz in response to Iran’s efforts to widen its area of control.

A ceasefire between the US and Iran has begun to look increasingly fragile, with the two sides exchanging fire even as the US said it had opened a passage through the waterway and CBS reported two American destroyers had crossed into the Persian Gulf.

Crew members have reported hearing radio broadcasts warning vessels of new boundaries defended by the Islamic Revolutionary Guard Corps. Attacks on the United Arab Emirates port of Fujairah, meanwhile, underlined an expanded Iranian command zone — and kept the strait largely devoid of traffic in the early hours of the day.

Dubai would fall just outside the new Hormuz control area defined by Tehran, which extends to the south to Umm al-Quwain, along the United Arab Emirates coast.

“The US is attempting to level the power balance in the strait and that’s been reciprocated against by Iran. It’s escalation,” said Anoop Singh, global head of shipping research at Oil Brokerage Ltd. “I’m not expecting a quick reopening of bi-directional flows through the strait.”

The number of daily Hormuz passages is currently at near zero — compared to around 135 each day before the war.

SOURCE: INDIA TIMES
 
Walokole wa bongo watakuja hapa na kusema ni halali U.S na Israel itawale mataifa mengine,kama Venezuela,Palestine,Iran etc.....ila watasema pia hapa kua wazungu walifanya makosa kuleta UKOLONI🤣😅😁😆
🤣
 
Mifumo ya Iran ishindwe kudhibiti anga lake ili viongozi wake wasiuawe, ikadeal na maGPS kwenye Meli za watu wengine. We unaona hiyo ni akili!
 
Duh nilifikiri Watanzania wote ni wajinga.

Iran ni taifa la kipumbvu hawana hicho mnachomsifia.
 
Sorry ndugu mwandishi iyo GPS je inaweza kuua binadamu waliomo ndani ya meli?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Duh nilifikiri Watanzania wote ni wajinga.

Iran ni taifa la kipumbvu hawana hicho mnachomsifia.
Umri wako na ulichokiandika hapa haviendani kabisa,

Haya ndio madhara yakutanguliza mbele chuki binafsi kuliko akili,
Pole sana mlokole kwa maumivu,naona huu uzi umekuchoma kama Pasi,
kunywa maji upumzike.
 
Back
Top Bottom