Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa nacte (AVN) na kwa sasa nashindwa kupata password ya kuweza ku log in katika account yang na nna uhitaj sana wa kupata AVN number kwa yeyote mwenye uwezo tafadhal naomba anisaidie
Mawasiliano 0656271493
Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria.
Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
Habari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo
Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550)
Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W
Serial no : 001EGVJML759
Manufactured January 2020
Nahitaji msaada namna ya kufanikisha 'screen casting' kwa kutumia...
Wanaukumbi Moscow anaomba msaada kwa Mturuki baada ya kuzingirwa na vikosi vya waasi.
==========
Russian troops have requested Turkey’s support for their safe exit from Syria following a lightning Islamist-led offensive that resulted in regime change, CNN Turk reported Sunday. The broadcaster...
Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo.
Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza muamko na kusoma na Kuna changamoto ambazo ninazo binafsi za kiafya ambazo ni ngumu kuajiriwa au...
Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike.
Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
Waheshimiwa, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) nikisomea sheria.
Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa za kifedha baada ya kukosa mkopo licha ya kuambatanisha nyaraka muhimu kama cheti cha kifo cha baba yangu.
Control number yangu ni...
Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu...
Natoa wito kwa Watanzania wenzangu wote wenye upendo na kuthamini uhai na haki za binadamu wenzao. Imetokea mara kadhaa kwamba watu wanatekwa, wanapiga kelele kuomba msaada lakini watu wanaangalia tu bila kutoa msaada.
Tafadhali sana, unaposikia mtu anapiga kelele kuomba msaada anatekwa...
Habari za muda huu ,hope mko poa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awaponye
Ipo hivi kuna ndugu yangu amenunua simu mtaani Samsung A05 Ila baada ya kununua ikapita kama siku 10 mbele simu ikawa haisomi laini yaani wali block Imei so baadae akaarudisha simu kwa mhusika na kumweleza...
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.
Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma?
Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
Wakuu salamu zenu.
Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini.
Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba wa permanent kama ku-comply na matakwa ya CRDB ambao walisema ili mwajiriwa apate mkopo katika benki...
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.