Mzuka wanajamvi!
Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa.
Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema.
Mungu wabariki bodaboda.
Nimepata hitilafu ya kutopata OTP kwenye mfumo wa internet banking yapata wiki sasa. nimetoa taarifa na kupewa ticket lakini mpaka sasa kimya. ninaomba bw kalegeye ulifanyie kazi suala hili. 33410022547 simu 0754290084.
Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao....
chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,,
Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
Habarin wadau wa JF
Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding yaan uchomeleaji mageti madirisha kupauwa kenchi za chuma nk.
Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection wadau potepote pale mikoani naenda nipo mwanza
phone number
0614853457
0756557949
Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant,
Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana wa miaka 23
Jina ni Rajab
Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam
Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo.
Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini sitaweza pata cheti wala kufanya mahafali hadi mwakani juu ya changamoto zilizonitokea ikasababisha...
Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu.
Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood.
Sasa leo katika kusoma kwangu...
Habari zenu,
Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na king’amuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na menyu ya Menu.
Naomba msaada, nibonyeze wapi ili nirekebishe tatizo hili?
Ahsante sana!
Hello wakuu
Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa cha habari kinavyojieleza msaada wa mtu yoyote mwenye mawasiliano ya wahusika wa Kitengo cha TEHAMA...
Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini
Msaada account yangu ipo suspension
Msaada kwa mwenye uzoefu
Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili.
Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
Habarini wenyeji wangu.
Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Bila shaka familia ya JF, wote mko salama.
Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya njema.
Najua humu ndani wengi wenu ni wenye vipato vikubwa, lakini naomba msisahau kuwa hata sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.