Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje.
Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
Ishi na watu vizuri Sana, usikubali kuwa chanzo cha migogoro Katia Maisha yako ya kila Siku.
Ila usiweke matumaini kuwa watu wako wa karibu ndio msaada wako kamwe usifanye hivyo.
Wanakuja kutusaidia kwenye Maisha yetu ni watu baki ambao hatuwajui kabisa.
Usitegemee marafiki zako ndio msaada...
Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
Mimi nalia na Hawa CRDB BANK.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na ilihali kwenye benki yake (NMB)inaonekana pesa imelipwa.
Week ya tatu hii nafuatilia hakuna msaada...
Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found!
TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO?
NAOMBA KUWASILISHA
Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
Naomba msaada wanajamii forum. Yeyote anayeweza kuisaidia kumpata mtu anaitwa Osward Rweyemamu au jina kingine Mc Egron Rweyemamu.
Alikuwa anajihusisha Sana na mambo ya ujenzi. Hata Kama mawasiliano ya mke wake au ndugu yake. Nashukuru kwa atakaye nisaidia.
Asante sana.
Habari. Mwenye kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza turubai za P.E zile nyepesi za blue ninaomba mawasiliano yao. Nimejaribu kutafuta mtandaoni sijafanimiwa. Asante
Wakuu za jumapili.
Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck.
Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani....
Ni wimbo wa miaka mingi...
Hello,kama kawaida jamiiforums ikiwa ni maskani ya kupata maarifa,basi wacha nami nichote maarifa kidogo
Mwanzo kabisa nawashukuru wote ambao mliitikia positively katika thread yangu juu ya radiography na baadhi yao walinipatia material kabisa nawashukuru sana, kweli jamiiforums imejaa makada...
Habari za usiku huu,
Nina jino upende wajuu kushoto limetoboka lina miaka 5 sasa lakini haliumi mpaka ukilitumia kutafunia ndio linaleta maumivu ya muda baadae kidogo yanaacha ni nikaamua kuwa natafunia upende mmoja wa kulia kwa miaka sasa ila shida iliopo nikilitafunia kitu kwa bahati mbaya...
Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
Wakuu Naomba kujua Huyu Ndugu, Anaweza saidika Vip?
Alikuwa amesafiri kwao huko kijijini, sasa Juzi amerudi Dar,sasa akaanza mchakato wa kuomba AVN number , kila akiingiza details zake anambiwa the user mwenye hizo details ameshakuwa registered, sasa akashindwa kuamini, maana haujawahi kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.