Hivi ni kwa nini oil rich gulf islamic states huwa hazichangii bajeti kama msaada?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa mambo mengine lkn sijawahi kuwasikia wakichangia bajeti ya tanzagiza kama vile EU au hata USA, sijawahi kusikia wakitoa fedha kuchangia wizara ya afya labda kununua dawa za hiv, malaria, au hata kifua kikuu?

Au labda huwa wanafanya na nimepitwa mahali? kwa maana tanzagiza wakisaema wadau wa kimaendelao wanaamanisha EU, USA au Japan na Korea (kusini) lkn siyo oil rich gulf states,, sasa ni kwa nini? lkn najua kwamba wanachukuwa mengi (sana tu) ktk tanzagiza ....
 
USA, EU waliwauza mababu zetu na kuwatumikisha katika mashamba ya miwa huko Ulaya, wanalipa fadhila. Islamic country hawakufanyq hivyo kwa mababu zetu
 
labda haijui historia yetu, hakuna mtumwa ktk kwetu aliyeuzwa ulaya au americas, watumwa wote ktk kwetu waliuzwa na arabs na wairani …
 
Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa mambo mengine lkn sijawahi kuwasikia wakichangia bajeti ya tanzagiza kama vile EU au hata USA, sijawahi kusikia wakitoa fedha kuchangia wizara ya afya labda kununua dawa za hiv, malaria, au hata kifua kikuu?

Au labda huwa wanafanya na nimepitwa mahali? kwa maana tanzagiza wakisaema wadau wa kimaendelao wanaamanisha EU, USA au Japan na Korea (kusini) lkn siyo oil rich gulf states,, sasa ni kwa nini? lkn najua kwamba wanachukuwa mengi (sana tu) ktk tanzagiza ....nm
Muislamu muarabu hajawai kutoa hata pipa moja la rami kwenye ujenzi wa barabara nchini ... wao kazi yao ni kueneza upumbavu wa misikiti tu adriz
 
usisahau wanachukuwa pia vitu vingi sana tu ktk kwetu, wamepora bandari hakuna nchi ya ulaya au USA ambayo ingeweza kupora bandari zetu, mbuga za wanyama, vitalu vya uwindaji vyote wameshika/shikishwa lkn hawatoi chochote hata tu knowledge transfer hakuna last time nilisikia raisi akijitapa ajira ya udereva kwa watanzagiza huko arabian desert hiyo ndiyo knowledge transfer yao kwetu …
 
Dola ni sarafu ya dunia, na mwenye dola hashindwi kuchapisha noti nyingi na kukupa ili uendelee kumtegemea pamoja na nchi zake za ushirika (Ulaya). Mwarabu yeye anatafuta dola na hayuko tayari kutumia dola aliyoipata kwa jasho kukupatia wewe kirahisi. Ata akikupa sarafu yake, utanunua nini uarabuni ulete huku kwetu, tende au?​
 
Ukihisa unapulizwa na panya usingizini jua ameshakung'ata, iko hivi. Hawachangii kitu ambacho hawajakunyonya. Nchi yoyote inayokuchangia bajeti kwa neno tunakusaidia jua tayari kuna mikataba mingi nyuma ya pazia wanakunyonya na wanachorudisha ni sehemu ndogo sana ya walichochukua.
 
Dola ni sarafu ya dunia. Mwarabu yeye anatafuta dola na hayuko tayari kutumia dola aliyoipata kwa jasho kukupatia wewe kirahisi. Ata akikupa sarafu yake, utanunua nini uarabuni ulete huku kwetu, tende au?​

hahaha hapo kwenye jasho nimecheka mpaka mbavu zinauma, mwarabu na jasho wapi na wapi? ulishaona mwarabu akifanya kazi hata siku moja?
mwarabu anakusanya tu mapato basi lkn hana jasho lolote, infrastracture ya oil yote wamejenga wengine mwarabu yeye msimamzi na kukusanya lkn hatoi jasho kwa chochote, anashinda msikitini anasali 5/day, anafunga mwezi mzima kuanzia asubuhi mpaka jioni bila ya kula chochote hata maji ya kunywa tu hakuna wakati humidity almost 100% halafu huyo mtu afanye kazi? …
 
Ni sawa na kusema Tanzania isaidie ku 'boost' bajeti ya Msumbiji au nchi yoyote ile kwa sarafu ya ''dola'', wakati na sisi tunapambana na utalii, kuuza madini n.k ili tupate hiyo dola na bado haitoshelezi mahitaji yetu.​
 
Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa mambo mengine lkn sijawahi kuwasikia wakichangia bajeti ya tanzagiza kama vile EU au hata USA, sijawahi kusikia wakitoa fedha kuchangia wizara ya afya labda kununua dawa za hiv, malaria, au hata kifua kikuu?

Au labda huwa wanafanya na nimepitwa mahali? kwa maana tanzagiza wakisaema wadau wa kimaendelao wanaamanisha EU, USA au Japan na Korea (kusini) lkn siyo oil rich gulf states,, sasa ni kwa nini? lkn najua kwamba wanachukuwa mengi (sana tu) ktk tanzagiza ....
Wako busy sasa hivi kulazimisha urafiki na taifa teule Israel ili wabarikiwe. Hawana tena time ya kutoa misaada kujenga vyoo vya misikiti wamejikita kusaidia kugawa tende pekee.

adriz de mbusii
 
Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa mambo mengine lkn sijawahi kuwasikia wakichangia bajeti ya tanzagiza kama vile EU au hata USA, sijawahi kusikia wakitoa fedha kuchangia wizara ya afya labda kununua dawa za hiv, malaria, au hata kifua kikuu?

Au labda huwa wanafanya na nimepitwa mahali? kwa maana tanzagiza wakisaema wadau wa kimaendelao wanaamanisha EU, USA au Japan na Korea (kusini) lkn siyo oil rich gulf states,, sasa ni kwa nini? lkn najua kwamba wanachukuwa mengi (sana tu) ktk tanzagiza ....
Hawana pesa za kuchezea
 
Wewe mtu mweusi unawaza kusaidiwa tu, fanya kazi kima wewe...
Hata hao wazungu hawatoi msaada ni mikopo ambayo ilimkimbiza nyerere kwenye uraisi na kuanza kampeni ya kutaka nchi zote zinazodaiwa zikatae kulipa...
Na mpaka aliwahi kusema, wanakupa mkopo nafuu, halafu ili kutekeleza miradi lazima uajiri makampuni yao na uwalipe kwa hizihizo hela za mkopo, ni mtego tu....
China pia hatoi misaada, anakopesha...
Nchi iliyokuwa inatoa misaada moja kwa moja ilikuwa ni Japan, kwa sasa imechoka kusaidi nyani zilizochangamka.
Hata waarabu wanatoa mikopo na misaada kidogo....

Nyani waliochangamka wanataka wasaidiwe kweli akili hatuna madini tunayo mbuga za wanyama tunazo sasa shida nini
 
Back
Top Bottom