Msàada mtandao wa X (twiter )unagoma nikidownglod kwenye simu

Msàada mtandao wa X (twiter )unagoma nikidownglod kwenye simu

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Tangu nimeflash simu huu mtando ndio pekee umegoma niki downglod pamoja na kutumia vpn lakini wapi
Yani kuna mda kama unataka kukubali naingiza user name na pasward nalog in inazunguka kiasi alafu inakata yenyewe cm inarudi kawaida kama nime exit vile.
Nifanyenye?
 
Back
Top Bottom