ACCRA, Ghana - Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa Rais Akufo-Addo kupata ajali, akirejea Ikulu ya Accra baada ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Ejisu John Kumah.
Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Makutano ya Bunso, Mkoa wa Mashariki. Taarifa ya Jeshi...
Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa mno, hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari ya mbagala rangi tatu?
Nchi nyingine wapo na mfumo huu?
Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime dereva kilevi.
Msafara wa CDF ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia...
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na...
Mwaka 2021 nilishangaa Msafara Wa Waziri Mkuu ulivyokuwa haujapangiliwa vizuri na nikasema ule ulikuwa ni upotevu Wa Hela za umma.
- Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?
Leo Tena nimeshuhudia magari ya serikali yakiwa kwenye Msafara mji mdogo Wa Ifakara.
Magari hayo yalipofika kwenye...
Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby.
Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024.
PIA, SOMA:
Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa
Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri
Matukio baada ya...
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba...
Tangu asubuhi ya leo mida ya Saa 12 asubuhi (Januari 30, 2024) tumeweka kwenye foleni hapa maeneo ya Kibaigwa (Dodoma) na hatujui kinachoendelea, taarifa ambazo si rasmi inadaiwa kuna msafara wa Kiongozi wa Serikalini.
Jiulize kwa muda wote huo zaidi ya Saa tano inaelekea 6 hours hakuna magari...
Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini.
Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.?
Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano...
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge
Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .
Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !
Msafara wake ni mara 2 ya msafara...
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo.
Tukio hilo...
📌📌 WANANCHI WA ILEMELA WASIMAMISHA MSAFARA WA MWENEZI MAKONDA KUMPA PONGEZI ZA RAIS SAMIA NA KUSIKILIZA KERO ZA STENDI YA MABASI YA NYAMONGORO
Wananchi, Wafanya biashara na Wadau mbalimbali Wilayani Ilemela wamesimamisha msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7.
Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora.
Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanafanana karibia kwa kila kitu (ukitoa wachache tu wanaojitambua). Wengi wao hawana...
1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo
Pesa zimepondeka kisawasawa
HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya...
Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo umesimamishwa na wananchi wa Msia, Kata ya Milepa, Jimbo la Kwela mkoani Katavi ili kufikisha kero yao ya umeme na barabara.
Wananchi hao wamesimamisha msafara huo leo Jumanne, Oktoba 10, 2023 wakati Chongolo na Katibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.