Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.
Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
Igweee!
Naomba niende directly kwenye Point:
Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa vilabu vyetu. Lazima tukubali hili, uwekezaji unaweza ukawa mkubwa lakini kama hakuna hamasa...
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
Maandamano hayo ni wito wa Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Muungano wa Azimio kuelekea Jijini Nairobi yakiwa na lengo la kupinga gharama kubwa za maisha na Utawala wa Rais Ruto.
Pia, Raila Odinga ameanzisha kampeni ya kukusanya Saini Milioni 10 za wananchi ili kupata uungwaji mkono wa...
Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na magarivitaya hayo ya Marekani (Bradley fighting vehicles) vilivyopigwa 'mtungo' na majeshi ya Urusi kisha...
Msafara wa Viongozi uliokuwa ukielekea Kigoma kwaajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Oparesheni mpya ya Chama umepata ajali saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023.
Ajali hiyo imetokea wilaya ya Uyui Tabora, Kata ya Kigwa, Waliopata ajali Yohana Kaunya Kaimu Katibu Mkuu Bavicha, Nuru...
Habari
Siku moja nilikuwa namgonjwa natokea Kahama, Ikabidi tuondoke mapema ili kuwahi dar es salaam mhimbili!
Tulipofika maeneo misigiri singida tukawekwa kando kupisha msafara. Tumekaa nusu saa kimya hakuna kiongozi aliyepita! Nikaona bora nisogee kidogokidogo kupitia rafu road (njia ya...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao.
Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
ajali
barabara
dakika
dkt. mpango
edward
hoja
kufunga
kufunga barabara
kupisha
makamu
makamu wa rais
marufuku
misafara ya viongozi
moringe
mpango
mrefu
msafara
muda
muda mrefu
mzee
rais
sokoine
vipi
yako
Huu ni msafara wa raisi wa nchi ya Equatorial Guinea moja ya nchi masikini Afrika, ambayo ni sawa na mali binafsi ya dictator Nguema wakila matunda ya UHURU huku wananchi wake wakitopea kwenye umasikini.
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania lilikuwa likisafiri kwa magari ya kivita sambamba na jeshi la Msumbiji. Magari matatu ya jeshi la...
Jeshi la Polisi Wilaya Tunduru limezuia msafara wa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe likidai hawana taarifa ya ziara hiyo.
Kiongozi huyo wa upinzani ambaye yuko kwenye ziara ya ujenzi wa chama mikoa ya Kusini msafara wake ulizuiwa ukitokea kata ya Namwinyu kwenda Kijiji cha...
Duh sikujua jamaa wapo hadi nchi maskini kama Burkina, walivamia na kuua madereva na wafanya kazi wa msafara wa chakula uliokua unasafiri kwenda kusaidia vijiji vyenye njaa...
The ambush, claimed by Al-Qaeda, officially killed 37 people, including 27 soldiers.
But 70 truck drivers remain...
Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake....
ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to...
Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il.
Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
Ninaangalia matangazo LIVE kupitia luninga za Kenya.
Jambo moja ambalo limenishangaza Sana ni kuona msafara wa Rais mteule, William Ruto, ukienda kwenye kiwanja cha Kasarani, ambako ndiyo kunakotarajiwa kwa shughuli hiyo ya uapisho, akipita barabarani bila kuzifunga barabara hizo, kwa maana...
Wapiganaji wa dini ya uislamu, alshabaab wamevamia msafara wa chakula cha misaada na kuua watu 20 na kujeruhi wengine.
Pia wameongeza mashambulizi kwa wanavijiji.
Four trucks carrying food relief and three minibuses were set ablaze. Authorities said al-Shabab has been intensifying attacks in...