msafara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…