Malengo ya kuanzishwa ofisi ya msajili vyama vya siasa hayajawahi fikiwa na hayatofikiwa .
taswira ya sasa ni kwamba msajili wa vyama vya siasa yupo kwa ajili ya kuhujumu chama chenye nguvu ya ushindani dhidi ya ccm.
*Kwasasa msajili yuko bize kuihujumu CHADEMA huku akifumbia macho madaifu...