kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
- Malengo ya kuanzishwa ofisi ya msajili vyama vya siasa hayajawahi fikiwa na hayatofikiwa .
- taswira ya sasa ni kwamba msajili wa vyama vya siasa yupo kwa ajili ya kuhujumu chama chenye nguvu ya ushindani dhidi ya ccm.
*Sasa basi, haiwezekani ofisi ya msajili vyama iigharamiwe bilions of money kwa mishahara, j na shughuli za ofisi bila kuwa na tija kwa taifa,
* Tuendelee kupatia hii ofis kodi zetu sorely ajili ya kupambana na chadema?? What a wastage of resources