Itakumbukwa kwamba Chadema ilifungua kesi ya kupinga mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini Tanzania yaliyopitishwa na bunge bila aibu ili kuua demokrasia na kukandamiza vyama vya upinzani, Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2020 kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki iliyoko Arusha.
Leo Hukumu...
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT
Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini.
Mheshimiwa, Zitto
Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.
Where is Jaji Warioba in this Task Force at least.
Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara...
Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini.
Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye.
Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa wadau wengi zaidi kushiriki kikamilifu.
Mkutano huo uliolenga kujadili maudhui ya utekelezaji wa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa.
Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba.
Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya...
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"
Aidha Msajili...
Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa?
Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho?
Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo?
Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa...
Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania,
Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana.
Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
Ni hivi karibuni tu mwanachama gaidi wa CCM bwana Hamza kutokana na ripoti za uchunguzi wa Polisi ameua Askari polisi wetu watatu na mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kujeruhi askari wengine na RAIA wema.
Aliyekuwa mwenyekiti wa Vijana wa CCM bwana Kheri James alitamka hadharani kuwa Walimkosa...
Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania.
Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi.
Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo.
Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha...
Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.
Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar).
Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi.
Suali Je...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
Kaimu Msajili (Abeli Odena) naye ni ndg yake John Bayo. Je haki ya kumchukulia hatua Bayo itatendeka? Wote wenye mamlaka ya kimaamuzi ni ndg zake akiwemo Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo na Kaimu Katibu Mkuu wa BMT Bi Neema Msitha.
Wote hao wanafuata maelekezo ya ndg yao (Filbert Bayi)...
Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.