Serikali ya Tanzania imesema, inafanya ukaguzi maalumu ili kubaini iwapo aina nne ya dawa zilizopigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO), zimeingia katika mzunguko nchini humo.
Jana Jumatano, Oktoba 5, 2022, WHO ilizitangaza dawa hizo kutoka India kuwa ni hatari na zimesababisha vifo kwa...