Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema Jumatano kuwa heka 21 za bangi zilizogunduliwa katika wilaya za Arumeru na Monduli mkoani Arusha...
Serikali wilayani Lushoto imeanzisha oparesheni kabambe ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka baadhi ya watu wanaoshiriki vitendo vya kuwatorosha watoto hususani wanafunzi ili kwenda kufanya kazi za ndani nchini Kenya.
Baadhi ya watoto hao ni wale walio katika shule za msingi na sekondari...
Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k.
===
Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
Taliban wako kwenye operesheni ya kuwatafuta watu waliofanya kazi kwa vikosi vya Nato au serikali ya zamani ya Afghanistan, waraka wa Umoja wa Mataifa umeeleza.
Usema wapiganaji hao wamekuwa wakienda nyumba kwa nyumba kuwatafuta wanaowalenga na kuzitishia familia zao.
Kundi hilo lenye msimamo...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaanza msako wa kukamata na kuwafikisha mahakamani wanaopiga kelele za kiwango cha juu usiku kinachozidi desibeli 40 .
Msako huo unafanywa nchi nzima katika maeneo tofauti ikiwamo nyumba za ibada,kumbi za starehe, klabu, baa, mitaani...
Na Felix Mwagara, MOHA – Kibakwe.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Jeshi la Polisi limewanyamazisha majambazi kimyakimya katika maeneo mbalimbali nchini baada ya hivi karibuni walipotaka kuijaribu Serikali.
Amesema operesheni ya kwanza ya kupambana na majambazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.