msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leak

    Namuomba msamaha Haji Manara kwa kumpinga aliposema waandishi wengi wa Tanzania ni "takataka" leo EFM radio wamethibitisha

    Wasalaam, Haji Manara aliwakera wengi sana alipo diriki kuwaita waandishi wa habari hasa za michezo kuwa ni "takataka" kwakweli ni maneno yaliyo fikirisha sana wengi na wengi walioneshwa kukerwa sana na kitendo kile cha udhalilishaji kilicho fanywa na haji manara na wengi walitegemea hatua...
  2. Komeo Lachuma

    CHADEMA mumuombe msamaha Yusuph Manji ama sivyo atawashtaki

    Kwenye list of shame 2012 na Yusuph Manji mlimtaja. Mkaja mtaja pia kuwa ni Fisadi Papa. Mlihusika sana kumchafua mfanyabiashara wa watu. Mkahusisha na Madawa ya kulevya. Mwaka 2015-17 (kama sikosei) ikaja kuonekana kuwa hakuwa fisadi wala hakuwa anahusika na hizo biznez kwa maelezo yenu...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Luc Eymael alikuwa sahihi. Tumwombe msamaha Wanayanga

    Ukiwasikia, ukiwasoma Wanayanga wakilikataa goal walilofungwa Azam ambao jana Captain wao alilikubali na kusema ni Uzembe wao. Unagundua wanayanga siyo Binadamu. Hawaujui mpira. Ndo maana huwa wanaambia haya kambebeni Sarpong wanaenda, wanaambiwa kambebeni Hersi wanaenda. Wanaambiwa nendeni...
  4. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli: Msamaha wa Metacha Mnata 'Mtandaoni' Klabu ya Yanga hatuutambui kabisa

    " Yaani ameacha Kutuandikia Barua kama Klabu ya Kutuomba Msamaha Yeye Kakimbilia Kuomba Msamaha Mtandaoni kana kwamba huko Mitandaoni ndiko Kumemuajiri Yeye. Naona ndiyo amezidi tu Kuharibu hivyo Sisi kama Klabu tutaendelea na Kikao chetu cha Nidhamu Kumjadili na kuja na Maamuzi juu yake "...
  5. S

    Kama anayosema Gambo yanatoka moyoni, basi anapaswa kuonesha njia na kuwaomba msamaha CHADEMA kwa aliyowafanyia

    Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake. Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC...
  6. Abraham Lincolnn

    Kuna haja ya kumuomba Hayati Dkt. Magufuli msamaha; kama taifa kuna sehemu tumekosea sana

    Habari wakuu, Kuna baadhi ya watu maarufu na wasiokuwa maarufu kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakionyesha chuki za wazi dhidi ya awamu ya tano pamoja na viongozi wake. Mbaya zaidi walifika hatua ya kutaka kusahaulisha 'Legacy' na kazi kubwa sana iliyofanywa na awamu ya tano. Kwa siku kadhaa...
  7. Superbug

    Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

    Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee. Sababu zangu Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa...
  8. ndege JOHN

    Kwani ukikosewa lazima uombwe msamaha na yule aliyekukosea?

    Kanuni ya msamaha ipoje maana kuna mtu nimemkosea sana nimemdhalilisha familia yake sasa kwa bahati nzuri au mbaya nilikuwa nimelewa kiasi cha kutojitambua na hivyo kusababisha kero. Ila kiukweli sikumbuki hata niliyemkosea sura yake ananitangazia mbovu kitaa ananitafuta sasa shahidi wetu...
  9. Lupweko

    Mwakalebela aiomba msamaha na kuisifia TFF ya Karia, aiweka njia panda Yanga

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh. milioni saba, amekiri kufanya makosa na kuiomba radhi TFF kwa yale aliyotamka hadi yakapelekea kupewa...
  10. Kurunzi

    John Heche: Wabunge 19 Viti Maalum wajitokeze kuomba msamaha badala ya kuwatumia Watu

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha. Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
  11. GUSSIE

    Wanasiasa ombeni msamaha, Tulitumika vibaya mwaka 2015-2020 Kueneza Chuki

    Wanabodi, Naweza kusema ni mwisho wa enzi. Lengai Ole Sabaya angeomba msamaha mapema na kukubali makosa angeishi kwa amani, Alitegemea nguvu za mwanadamu kumshika mkono wakati hana mkataba na aliyemleta huyo mtu Duniani Ni ukweli na unaumia pale unapoomba msamaha wa kweli kwa maovu na mabaya ni...
  12. Analogia Malenga

    Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

    Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani. Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  14. Maji Chai

    Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

    Habarini wakuu Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli. Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye. Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu...
  15. Lager

    Grace usije tena gheto

    Kila tukikosana na nikataka tuachane basi unakuja gheto kuomba msamaha na mara zote msamaha nautoa bila hata kuongea chochote yani ukinipa tu na msamaha natoa!. Kusema kweli Grace sijapenda tabia yako hii ya kumaliza makosa yako kwa njia ya kidikteta telezeshi! Visa vyako ni zaidi ya msamaha...
  16. rikiboy

    Mwanaume kuomba msamaha kwenye Mapenzi ni udhaifu

    Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami. Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi...
  17. MWAKITWINO

    Inabidi Watanzania tumuombe msamaha Rais Magufuli

    Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana Najiuliza: 1) Tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko...
Back
Top Bottom