Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani...