PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Msanii kuimba kwenye kampeni za CCM ni ajira yake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.

Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani Songwe leo Disemba 17, 2025, Dkt. Mwigulu amesema walichokifanya wasanii sio kibaya kwakuwa hiyi ni ajira yao inayowaingizia kipato hivyo si vyema kuwahukumu kwa walichokifanya.

"Ukiona mchezaji anacheza Manchester United usidhani kama huyo ni shabiki wa timu hiyo, hapo yuko kwenye ajira, hata hawa wa hapa kwetu Simba na Yanga, pale wako kazini sio washabiki, sasa watanzania achaneni na hao wanaharakati walioko nje ya nchi"

​
 
Tushakubaliana kila mtu afanye kazi yake, sisi wananchi tulishakubali kufanya yetu, mbona kelele nyingi guys.............guys..............
 
Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.

Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani Songwe leo Disemba 17, 2025, Dkt. Mwigulu amesema walichokifanya wasanii sio kibaya kwakuwa hiyi ni ajira yao inayowaingizia kipato hivyo si vyema kuwahukumu kwa walichokifanya.

"Ukiona mchezaji anacheza Manchester United usidhani kama huyo ni shabiki wa timu hiyo, hapo yuko kwenye ajira, hata hawa wa hapa kwetu Simba na Yanga, pale wako kazini sio washabiki, sasa watanzania achaneni na hao wanaharakati walioko nje ya nchi"
Wakati huohuo wasanii wakiimbia vyama vinginr wanatekwa na kuteswa
E.g Roma , ney
Je, kwao sio ajira?!
Cc mwigulu nchemba
 
Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.

Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani Songwe leo Disemba 17, 2025, Dkt. Mwigulu amesema walichokifanya wasanii sio kibaya kwakuwa hiyi ni ajira yao inayowaingizia kipato hivyo si vyema kuwahukumu kwa walichokifanya.

"Ukiona mchezaji anacheza Manchester United usidhani kama huyo ni shabiki wa timu hiyo, hapo yuko kwenye ajira, hata hawa wa hapa kwetu Simba na Yanga, pale wako kazini sio washabiki, sasa watanzania achaneni na hao wanaharakati walioko nje ya nchi"
Ijapokuwa uchaguzi uliomuingiza madarakani ni wa mchongo, hii sio aina ya uongeaji unaotarajiwa kutoka kwa waziri mkuu. Anaweza kujenga hoja bila kuwatukana watu hata kama anadhani wanafikiri kwa kutumia kamasi. Kama yeye anajiona ana akili kuliko mtu yeyote katika nchi hii, aache kuwatukana watu. Akae tu akili zake ambazo zina faida kwake na kwa familia yake. Akili zake ni kwa faida yake na familia yake. Matusi sio kitu kizuri, yasa kutoka kwa kiongozi wa nchi.
 
"Hizi akili au kamasi" hp kweli Mh.waziri alikosea Bado na Ile kauli yake "tuhamie Burundi" haijasaulika, Yani sisi mashabiki wa wasanii tunaodhuria show zao, kuperuzi nyimbo zao mitandaoni nk na wao kupata gawio Leo tunaitwa akili zetu km kamasi sio fair ht km na wao wanatupa burudani in return, Bdo diamond na wenzke hapo walitutukana live live kpnd Cha kampeni za uchaguz na no any action from TCRA..
Khs Blogger Mange wampuuze tu, mtu km ni chizi ukibishana nae au kujibizana nae unadhani na wewe utaonekanaje? Viongozi wapige kazi ionekane hata hao wananchi au wanaharakati wa mtandaoni watakosa Cha kusema/kupost
 
Back
Top Bottom