Hakuna kazi halali isiyolipa kodi ijalishi nini unafanya nini ila uwe unatambulika na TRA na taasisi zengine kutokana na kazi yako.
Sasa hawa wasanii wetu wanaojitapa kuwa wanalipwa na mamilioni sijui wana pesa za kufa mtu kupitia sannaa zao mbona sijaona hata TRA kupewa cheti kama wanavyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.