https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk
The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
Wakuu,
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na...
Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF
Karibuni.
Paskali
https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
Mkuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wanaowataka
Soma pia: Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni.
Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
Wakuu,
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi cha Uchaguzi ndipo upotoshaji unakuwa mkubwa mno.
My take
Hivi Msemaji Mkuu anajua kuwa hamna kundi...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba ametembelea ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) zilizopo Relini Jijini Dar es Salaam, leo Agosti 16, 2024.
Makoba amepokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Bakari Machumu ambapo wamezungumzia mambo...
Naomba uongozi wa JamiiForums umualike Msemaji Mkuu wa Serikali tumuulize maswali ya moja kwa moja.
Aa serikali ifungue akaunti yake rasmi humu JamiiForums ili madukuduku yetu yafike moja kwa moja ikulu.
Akhsante.
Ndugu zangu Watanzania,
Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali na vile vya binafsi vitarushaa matangazo hayo na mkutano huo na waandishi wa habari muda wa saa kumi...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba (kushoto) akikabidhiwa nyaraka na Bw. Mobhare Matinyi (aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali) wakati wa makabidhiano ya ofisi ambayo yamefanyika Juni 26, 2024 katika...
Leo Rais Samia anakutana na Wasemaji wa serikali kutoka maeneo mbalimbali
Naomba kuelimishwa majukumu ya Hawa Wasemaji
Pili mniambie kuna tofauti gani Kati ya Hawa wasemaji na Lucas? 😄
Jumatatu njema!
Ndugu zangu watanzania,
Nimeona ni kama kiswahili kimekuwa kigumu kidogo kwetu watanzania japo ndio lugha yetu ya Taifa au huwa tunasoma taarifa kwa juu juu tu,kama kawaida yetu ya baadhi yetu watanzania ya uvivu wa kusoma habari au taarifa kwa umakini na utulivu.
Nimepita baadhi ya maeneo na...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea.
PIA SOMA
- VoA...
Hotuba ya Mkurugenzi Wa Idara Ya Habari Na Msemaji Mkuu Wa Serikali Ya Jamuhuri Ya Muungano Tanzania, Mobhare Matinyi, Kwenye Hafla Ya Pili Kitaifa Ya Tafakuri Ya Uchechemuzi Wa Uhuru Wa Kujieleza Iliyoandaliwa na Misa- Tanzania, kwenye Hoteli Kilimanjaro Hyatt, Dar es Salaam, Tarehe 31 Mei...
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MAENDELEO YA MPANGO WA UHAMAJI WA HIARI KUTOKA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO KWENDA MSOMERA NA MAENEO MENGINE YA NCHI
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Mei 26, 2024 amezungumza na waandishi wa habari kuhusu...
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 26, 2024 atazungumza na Waandishi wa Habari kufikisha ujumbe kwa Taifa kuhusu masuala mbalimbali. Ni kuanzia 7:30 mchana kwenye Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Arusha. Usikose kufuatilia kupitia Televisheni mbalimbali kujua masuala...
Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 19, 2024 imesema kuwa TMA katika taarifa yake ya saa 12 jioni ya leo, imetabiri kimbunga hicho kilichopo umbali wa kilomita 680 kutoka pwani ya Tanzania, kuwa kitasababisha mvua kubwa na upepo mkali Jumanne...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.
========
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.