msemaji mkuu wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  2. Roving Journalist

    Mobhare Matinyi: Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro ili wahame kwa hiari

    Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga. https://www.youtube.com/live/tgDq_QmfwgI?si=7y6tlTVhDddXkqWX Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha...
  3. Sildenafil Citrate

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi

    Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza. Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika...
  4. GENTAMYCINE

    Msemaji Mpya wa Serikali Mobhare Matinyi naomba uanze na Mfupa huu Kiufafanuzi

    Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan? Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
  5. R

    Tufunge mjadala: Mobhare Matinyi vs Salim Kikeke nani alistahili kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali?

    Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile). na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa...
  6. kevylameck

    Mobhare Matinyi - Mpiganaji mpya wa Rais Samia kwenye ulingo wa habari na mawasiliano

    Na Kevin Lameck Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa. Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
  7. Baraka Mina

    Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Uteuzi huu unaanza mara moja. Julai 2, 2023, Rais Rais Samia...
  8. N'yadikwa

    Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
  9. G

    Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke. NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
  10. benzemah

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Tumerudisha Bilioni 9 za Bureau De Change

    “Serikali imesharudisha takribani TZS bilioni 9 kwa wafanyabiashara waliokuwa wamewekeza kwenye Bureau de Change [maduka ya kubadili fedha] ambazo zilikuwa zimekamatwa katika oparesheni iliyofanyika, na baada ya kujiridhisha na kukuta wamefuata na kuzingatia vigezo, wamerudishiwa fedha zao ili...
  11. Chachu Ombara

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

    Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya... Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
  12. MwanaHabari Digital

    Msemaji Mkuu wa serikali atoa uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu Ajali ya ndege Bukoba

    "Serikali inawaomba wananchi wote kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi huu unafanyika na baada ya uchunguzi kukamilika watajulishwa. Aidha, Baraza linawashukuru na kuwapongeza wote waliohusika katika uokozi baada ya ajali hii kutokea" @MsigwaGerson
  13. Cannabis

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  14. Roving Journalist

    Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari leo Juni 12, 2022 Jijini Dodoma

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika mkutano na waandishi wa habari leo Juni 12, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi za Idara ya Habari-MAELEZO, Dodoma. MSIGWA...
  15. JanguKamaJangu

    Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani: Sababu za Wamarekani kupewa tenda "Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
  16. beth

    #COVID19 Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
  17. C

    Monalisa Ndala: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ajiuzulu mara moja

    GERSON MSIGWA AJIUZULU Ndugu zangu waandishi wa habari, kwanza nawashukuru kwa kuitikia wito wangu na kufika hapa leo. Nimewaita kwa jambo moja tu ambalo niliona haitakuwa sawasawa likiachwa na kupita hivi hivi. Kabla sijalitaja jambo hilo naomba niseme mapema kuwa ninazungumza katika mkutano...
  18. B

    Aliyoyasema Msemaji Mkuu wa Serikali kwenye Mkutano wake na Wanahabari leo

    YALIYOJIRI WAKATI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI – MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKITOA TAARIFA YA WIKI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA UTENDAJI WA SERIKALI LEO SEPTEMBA 12, 2021 DODOMA. # Kuna baadhi ya maeneo yamepata changamoto ya kukatika kwa umeme, ni kwa sababu ya kazi...
  19. B

    Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa Taarifa ya Wiki leo Septemba 12, 2021

    Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili asubuhi hii. 1. Taarifa ya wiki kutoka Serikalini 2. Majibu ya maswali yenu 3. Maoni na ushauri...
  20. B

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Morning Trumpet asubuhi hii

    Kuanzia saa 2 asubuhi hii ya leo Ijumaa Septemba 10, 2021, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atazungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha UTV pale Azam Tv. Usikose kufuatilia.
Back
Top Bottom