mshahara

  1. Hii ndiyo njia ya uhakika ya kuongeza mshahara wako

    Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako? Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani? Je mwajiri wako amekuwa hakuongezi mshahara licha ya gharama za maisha kupanda? Na je ungependa kuwa na...
  2. W

    Nini maana ya kushikilia shilingi kwenye mshahara wa Waziri?

    Habari wanajukwaa. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, Kuna baadhi ya Wabunge wakiwa wanachangia mijadala kadhaa pale bungeni (hasa katika bunge hili la bajeti) Mbunge anaweza kuwa ameuliza swali fulani na kutaka majibu toka serikalini na Waziri anaweza kujibu hilo swali ila Mbunge...
  3. N

    Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

    Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
  4. Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  5. Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

    Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni...
  6. J

    PAYE kwa Wafanyakazi imepunguzwa kutoka 9% hadi 8%. Kodi kwenye marupurupu imeondolewa; hatua hii itaongeza mshahara!

    Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8% Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa. Kazi Iendelee!
  7. TUCTA: Kima cha chini cha mshahara kiwe 970,000

    Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake. Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa. Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho...
  8. M

    Hivi ongezeko la Mshahara inatumika formula gani, au wote tunaongezewa laki laki

    Samahanini jamvini, Nani anaujuzi na haya Mambo ya ongezeko la Mshahara , ni kwamba kila mmoja wa civil servant ataongezewa fixed amount katika Mshahara gafi yaani elfu 40,000 kila mmoja ama iko vipi, tupate SoMo. Na vipi kupanda daraja, he na Mshahara utapanda Mara mbili yani ya kupandia...
  9. Kimbunga kimekuja tarehe za Mshahara

    Kimbunga tajwa kimekuja tarehe pendwa za Mshahara. Tutarajie Guest houses kujaa. #Kerege_Moja#
  10. Dhana ya kwamba mshahara ukiongezwa na inflation itatokea ni dhana inayopaswa kufikiriwa na kichaa tu

    Ninasema kuwa dhana hii ni mfu kwa sababu zifuatazo; 1. Je, kwa miaka 5 ya Magufuli bei za vifaa vya ujenzi iko palepale Kwakuwa mshahara haujaongezwa?. 2. Je, Tangu tupate uhuru mpaka sasa Marais waliopita ndio walichangia kuongezeka kwa bei za bidhaa kwa kuruhusu ongezeko la mshahara kwa...
  11. Naomba mshahara wa Rais upandishwe uwe kama zamani

    Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete. Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu...
  12. Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

    Ndani ya siku 18 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara HAPANA, siyo kwamba ameajiri HAPANA, siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani HAPANA bali ni MATAMSHI yake tu kama Kiongozi Mkuu wa nchi yanaendelea kuliponya taifa bila sindano wala vidonge...
  13. J

    Dkt. Mpango: Nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi Machi

    Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021. Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa. Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais. Kila zama na kitabu chake Maendeleo hayana vyama!
  14. S

    Mama Samia ni rais lakini bado ana mume, wewe mshahara laki 3 unamtosa mumeo ili uwe single mama!

    Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake. Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi...
  15. Updates za mshahara wa March 2021

    Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu. Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya
  16. Mshahara wa March

    Nahisi utachelewa sana kutokana na janga zito lililotukumba mlio serikalini kuweni wavumilivu
  17. Tuwaongeze mishahara hawa dada wa nyumbani

    Kutokaana na mabadiliko ya dunia yanayoendelea na janga la homa kalini wakati muafaka wanandoa mnapochagua dada wakazi awe sio tu kazi za nyumbani awe msaidiizi pia wa mama wa nyumban pale anapokuwa hayupo. Hizi taarifa za kutokaa mikusanyiko kama bar nk zimenifanya nikachukue ka model rombo...
  18. L

    China kuongeza kima cha chini cha mshahara na kuwasaidia watu wenye matatizo ya kiuchumi

    Hivi karibuni, mikoa mingi ya China imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa mwaka 2021. Kwa mujibu wa kiwango cha sasa, Shanghai inaongoza kwa Yuan 2,480 kwa mwezi, sawa na dola za kimarekani 384. Kadri kima cha chini cha mshahara kinavyopanda, kipato cha wafanyakazi wenye kipato...
  19. L

    Tujadili mshahara wa TGS D kwa watumishi wanaoishi kwenye majiji

    TGS D ni kiwango cha mshahara kwa mtumishi mwenye shahada ya kwanza anaefanya kazi Serikali Kuu na Serikali za Mitaa (halmashauri). Baada ya makato ya PAYE, NHIF na TUCTA kiasi kinachobaki ni around Tshs. 540,000/-. Hapo sijaweka makato ya HESLB. Sasa hapa tuijadili hii 540,000 inayobaki. Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…