Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu ya simba inalipa wachezaji, benchi la ufundi, n.k mamilioni ya pesa,ina mdhamini wake ni tajiri kabisa hapa Afrika lakini leo nimepigwa na bumbuwazi bada ya mambo kuwa wazi kwamba msemaji mkuu wa simba analipwa hela ndogo ambayo hailingani na hadhi na mchango wake...
Poleni na majukumu ya kazi
Samahani naomba kuuliza: Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mwenye ASTASHAHADA tu natamani kujiendeleza angalau kufikia SHAHADA
Sasa najiuliza je, baada ya kujiendeleza nitabadilishiwa kiwango Cha MSHAHARA? Au inakuaje? Naomba mwenye uelewa wa kina na haya Mambo...
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
Habari,
Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana.
Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho.
Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika.
Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
Na Thadei Ole Mushi
Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge.
Twende sawa hapa.
1. Mbunge hulipwa mshahara kwenye scale ya LSS (P) 2 ambayo mshahara wake ni Shilingi 4,600,000.
2. Atalipwa posho ambazo kwa...
TUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohojiwa na gazeti la Nipashe
Kwa upande...
I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
Kumezuka mjadala kuhusu mishahara ya Wabunge na Posho zake, ambapo wabunge wanalalamika kuwa wanalipwa pesa kidogo na huku wananchi wakilalamika kuwa kodi zao zinachezewa bure ili kuwalipa wabunge mishahara mikubwa na posho zisizokuwa na kichwa wala mkia.
Sasa ili kukata mzizi wa fitina, ni...
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga
====
Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka.
Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia...
Habari wana jamvi kama kichwa kinavyosema hapo juu nina omba kujua ukiwa na mshahara wa laki 5 mpaka laki 7 ambayo ni take home, Unaweza kupata mkopo wa maximum kiasi gani? Na itabaki shilingi ngapi?
Je, naweza kopa ikabaki Tsh. 100,000/= nitapata mkopo kiasi gani na nitalipa kwa muda gani? In...
Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa.
Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu.
Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au...
Umofia Kwenu!
Wakuu mimi niliacha kazi (resign) serikalini mwaka 2019. Nimesikia malimbikizo ya nyongeza ya mshahara yatatolewa kwa 2015 kuja 2021.
Je, mimi nahusika hapo kujaza na kufuatilia pale zoezi litakapoanza?
Naombeni ufafanuzi kwa wajuzi
Habari wanazengo,
Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua...
Mwenye uzoefu wa kukokotoa kodi (PAYE) kwa hiyo 1% iliyopunguzwa ni sawa na kiasi gani tutegemee Julai?
Au nipeni kikokotoo nifanye mwenyewe.
Ahsanteni
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.