Heshima kwenu.
Naomba kujuzwa, hivi hizi kampuni za mikopo huwa zinalipa mshahara wa Tshs ngapi kwa afisa mikopo?
Je, mbali na mshahara huwa Kuna benefits zingine ambazo mfanyakazi anapata?
Habari zenu wadau mimi ni muajiriwa sekta binafsi
Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita nilikuwa najishughulisha na ujasiriamali mambo yalikuwa magum sana sikua na mtaji wa kutosha kuhimili soko na ushindani na ilifika wakati hata kodi ilisumbua
Namshukuru mungu nilipata ajira kwa mkataba wa...
Hello!
Leo bila shaka mshahara kwa watumishi wa umma utaingizwa kwenye akaunti zao.
Sasa sisi wa CRDB mzigo unachelewa kidogo, basi nyie wa NMB mkiuona mnishtue haraka ili nivae suti yangu nikachukue nijipongeze.
Kazi ya Kwanza ni majukumu yake kama kocha msaidizi
Kazi ya Pili ni kutuliza mashetani ya Pablo.
Pablo is so much in touch with his femine side yaani kajamaa kanakasirika kasirika Kila saa ili kabembelezwe utafikiri ka Manzi.
On a serious note: Kuna uwezekano mkubwa Sana Pablo akawa crack...
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini...
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!
Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.
2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.
3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.
4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.
5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa...
Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi.
Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia...
Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi.
Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2.
Kazi nzuri.
Kutuma Maombi fungua link hapa chini...
https://erajobs.state.gov/dos-era/vacancy/viewVacancyDetail.hms?_ref=n0dhqwvrpt0&returnToSearch=true&jnum=30260&orgId=22
Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu.
Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao...
Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara,
Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
Wakuu Habari za muda huu!
Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi.
Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa.
Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu.
Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?!
Ahsante.
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.
Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.
Anaishi nyumba ya kupanga.
Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na mengineyo ili aipate au ni feki, ni vile tu hawaja mkamata. Mara nyingi nimewaona wenye PhD...
Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena.
Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!!
Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!!
Turudi kwenye mada ....
HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳
Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.