Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa...
Katika siku ya wafanyakazi duniani TUCTA wamesema mapendekezo yao mara nyingi yamekuwa hayakubaliki na serikali na hivyo kiwango cha chini kimekuwa duni kwa watumishi wa serikali na binafsi.
Mathalani kwa sasa kima cha chini cha mtumishi wa serikali ni Tsh. 315,000 kiasi ambacho hakiendani na...
NEW JOBS AT LONGIDO DISTRICT COUNCIL, APRIL 2022
The Executive Director of Longido District Council is inviting applications from Tanzanians to fill new vacant positions. Read full details through the PDF Document attached below:
Mchakato wa Manchester City kuelekea kumsajili Erling Haaland wa Borussia Dortmund unaelekea pazuri hiyo ni baada ya kudaiwa kuwa wameshafikia makubaliano ya mshahara wa paundi 500,000 (Tsh bilioni 1.5) kwa wiki.
Man City inataka kukamilisha mapema mchakato huo mapema, ada ya usajili inatwa...
Habari za Humu wana Jukwaaa, naitaji kujua kima cha Mshahara wa Aliyeajiriwa na diploma ya procurement serikali kada ya Assistance procurement officer/ Assistance Supllies officer naombeni Majibu
Heshima kwenu wakuu.
Well, nimekuwa nikiskia tu kuwa unapofanya kazi UN mpaka mchumba/mpenzi/mke wako nae ana lipwa kila mwisho wa mwezi.
Leo katika pitapita nikawa napita kwenye website ya UN kuangalia Salaries, Allowances, Benefits and Job Classification nikaona hii kitu hapa...! Hii ina...
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya...
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza:
Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli.
"Kwetu ni self service."
Nani anasema tatizo letu si katiba?
Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
Baada ya kupigika ndani ya miaka mitatu ya kuacha kazi niliyoona haina maslahi..kufungua biashara zikanishinda na kuzifunga nyingine kuziuza baada ya kuchoka kuumiza kichwa.
Nimerudi rasmi kwenye maisha ya mshaara wa laki nne kwa mwezi..uzuri nna gari yangu nilionunua baada ya kuuza biashara...
Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara...
Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa.
Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi wamekuwa wakipitia, hali iliyopelekea Watumishi kuamua kuwa pamoja katika vyama kwaajili ya kupambania...
Habari Wakuu!
Mambo yetu yanasikitisha mno. Yanahuzunisha Sana.
Tumezoea kulalamika.
Tumezoea kulaumu wengine huku Sisi tukifanya yaleyale.
Taikon sitaki kumlaumu yeyote. Siku zote nitakuwa msema ukweli hata Kama unaumiza.
Ukweli ndio dawa pekee ya kuikomboa nchi.
Hakunaga maendeleo pasipo...
Heshima kwenu wadau
Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara
Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
Kigoma is a city and lake port in northwestern Tanzania, on the northeastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 215,458.
Nafasi za kazi za muda
Habari ndugu watanzania. Ni imani yangu kuwa mu buheri wa afya.
Katika mfumo wa uongozi wa elimu huwa kuna afisa elimu (mkoa, wilaya) ambapo chini yake wanakuwepo wakuu wa idara mbalimbali mfano, idara ya taaluma (afisa elimu taaluma), idara ya takwimu (afisa elimu takwimu) etc.
Naomba kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.