Ifike hatua tuache kubembelezana, Serikali ilisema kabisa imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini?
Hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikuwa wanapata hadi 280, 000/= Hawa ndio wamepewa 23%
Sasa wewe una mshahara wa milioni na wewe unataka 23% unaumwa eti...
Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe.
Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari.
Hii ni DHULMA.
Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa.
Mtumishi hatakuja kupata...
Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.
Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Mwalimu Ester Shayo
Moshi
22.07.2022
Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023, baada ya Serikali kutangaza kuwa mishahara itaongezeka kwa 23.3%
Nimegundua kuwa baadhi ya wananchi...
Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha.
Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji.
Lakini serikali...
Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.?
Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
Wafanyakazi walihitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi.
Kwa wastani kila mtumisi kaongezewa buku tu kwa siku. Kwa maisha haya hiyo elfu moja inamaana gani?
Mwaka jana mliongeza elfu 2 eti...
Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana.
Baba mwenye nyumba,
Kashai, Bukoba.
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane...
Habari za majukumu wana JamiiForums.
Andiko langu la leo ni juu ya namna ya mshahara wa mtumishi ulipwe, kuzingatia mabadiliko ya mifumo ya maisha kupanda na kushuka kwa gharama za maisha napendekeza watumishi wa umma walipwe kwa awamu mbili nikiwa na maana ya tarehe 15 na tarehe 30 ya mwezi...
Wakati waziri wa fedha anawasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023 alipendekeza kama njia ya kubana matumizi kuwa mtu akitenguliwa kwenye nafasi ya uteuzi na akarudia nafasi yake ya awali, basi na mshahara utenguliwe ili apate unaolingana na nafasi aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi. Kwa...
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa.
Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
Kamaliza chuo mwaka juzi ila hadi sasa hana shughuli, alikuja hapa mjini pasaka mwaka jana ila nikamwambia abaki baki ajiskie huru hasa ukizingatia nyumbani kwangu kuna vyumba vya nje kwa hio haikuwa taabu kumuhifadhi.
Sina ubaya wala hila, mimi kila wiki huwa nampa 50 kwajili ya matumizi...
Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.