mshahara

  1. selemangrace346

    Uhasibu, Afisa Biashara, au Afisa Manunuzi: Kazi ipi kati ya hizi ina nafasi nzuri ya kutengeneza pesa mbali na mshahara?

    Wana JF kwema? Straight to the point, najua JF is the home of great thinkers na inajumuisha watu mbalimbali wenye uelewa katika mambo mengi hivo Uzi wangu upo mahali sahihi kabisa, naomba ushauri kwa mwenye kujua ni kazi gani kati ya UHASIBU, AFISA BIASHARA, AFISA MANUNUZI, AFISA RASLIMALI WATU...
  2. Diversity

    SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  3. Lady Whistledown

    Wanahabari wa Reuters wapanga mgomo Siku ya leo kupinga ongezeko dogo la mshahara

    Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana nao ipasavyo nyongeza ya mishahara, ambapo Shirika hilo linadaiwa kupendekeza Mikataba ya Miaka 3...
  4. T

    Naomba kujuzwa Mshahara wa Mhandisi daraja la pili (engineer II) Wizara ya Ujenzi

    Anaefahamu Mshahara wa mhandisi daraja la pili (engineer ii) wizara ya ujenzi
  5. OKW BOBAN SUNZU

    TUCTA: Kuongea mshahara elfu 8 ni dhihaka

    TUCTA kama wapo serious hivi. Wakishindwa kuongeza tunaandamana. --- Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limeeleza kutoridhishwa na nyongeza ya mshahara huku wakieleza tofauti kubwa ya nyongeza baina ya daraja la juu walioongezewa kwa asilimia 0.6 na wale wa daraja la chini...
  6. A

    Mshahara wa dakatari zanzibar

    Ni kweli kuwa mshahara wa medical doctor mwenye degree katika hospitali za serikali zanzibar ni 800k?
  7. Wazolee

    Siku ile Serikali inatangaza kuongeza mshahara walisema wanaongeza 23.3% kwa kima cha chini

    Uhuru wa kuongea ukizidi sana unachafua hali ya hewa. Serikali ilisema itaongeza mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini na hao watumishi wa kima cha chini wote wamepata hiyo 23.3% sasa shida ipo wapi? Yani serikali inashindwa kusimamia msimamo wake inabaki ujiumauma tu Mara vikao sijui Mara...
  8. Thabit Karim

    Sintofahamu Nyongeza ya Mishahara: Serikali Kukutana na TUCTA 26/07/2022

    Serikali kupitia ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema itakutana na viongozi wa TUCTA kuhusu suala la nyongeza ya mishahara. Taarifa hiyo imesema hivi: Ndugu wafanyakazi, Jumanne tarehe 26 Julai, 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA)...
  9. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  10. Kinengunengu

    Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje?

    Nawasalimu wakulungwa. Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje maana wakati wa May Mosi, Rais Mwinyi aliahidi kuongeza asilimia 17. Sasa naomba tujifunze, je nyongeza ipo na kama ipo imekaaje? Maana huku Tanganyika Chief Hangaya kafanya yake.
  11. M

    WALIMU WAHESHIMIWE: Kila anayeilaumu serikali kuhusu nyongeza ya mshahara anabambikizwa kuwa mwalimu, tabia hii ikome!

    Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki. Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi...
  12. Expensive life

    Watumishi wa uma si mmeongezewa mshahara sasa lipeni madeni yetu.

    Ndugu zetu watumishi wa uma, kwanza niwapongeza kwa kuongezewa mshahara, ombi langu kwenu lipeni basi madeni yetu tuliyowakopesha kipindi mnapitia katika hali mbaya. Ahsanteni Sisi wa sekta binafsi tutapambana na mabosi zetu, ikishindikana basii.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Mwajiri wako anapokupangia Mshahara hakufikirii katika haya

    Kwema Wakuu! Hili uliweke akilini mwako kabisa mapema ili baadaye usiyejekulia Lia Kama mtoto. Mwajiri wako anapopanga Mshahara wako kitu anachokiwaza ni kupata faida maradufu. Pia anawaza ni namna gani utamsaidia kupata faida kubwa zaidi na kufikia malengo yake, na sio kuwaza kukusaidia...
  14. J

    Watumishi wa umma mna akili finyu, acheni kazi sisi tutazifanya kama mshahara hautoshi

    Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara...
  15. mtwa mkulu

    Kauli ya serikali kuhusiana na Ongezeko la mshahara

  16. Mtemi mpambalioto

    Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

    najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022 chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi! kuna...
  17. Peter Madukwa

    Ushauri: Badala ya Nyongeza ya Mshahara, Serikali ijikite katika ajira mpya na mfumuko wa bei

    Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi na malalamiko ya wafanyakazi kuhusu nyongeza ya mshahara. Hapo mwezi Mei serikali ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassani ikaamua kuwa mshahara uongezwe kwa 23.3 kwa kima cha chini hasa ukizingatia, katika...
  18. Rashda Zunde

    Kuhusu nyongeza ya mshahara

    Ni hivi nyongeza ya mshahara kwa 23.3% inaanza kwa watumishi wa Umma wenye kima cha chini 300,000.. so approximately mtu huyo anapokea 70,000 extra!! Hizo asilimia zinakuwa zinapungua kadri mshahara unavyopanda!! The purpose is kulinda gap kwa wafanyakazi lisiwe kubwa. Hivyo basi hii...
  19. Determinantor

    Mbona UVCCM sijawasikia wakipongeza "Nyongeza" ya mshahara?

    Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha? Samia anaupiga mwingi sio?
  20. Sang'udi

    Hayati Magufuli: Ningeweza kusema ninawaongeza mshahara halafu nikaongeza elfu tano tano

    Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
Back
Top Bottom