Ndugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani?
Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.
Kuna dogo langu anajitolea mahali flani kwenye kampuni ya waturuki,wanampa laki 5 kwa mwezi ambayo haina makato yoyote yale.kaniomba ushauri aende kwenye interview ya hawa nhc huko Daslamu au apotezee?
Nafasi aliyoitiwa huko nhc ni temporary sales representative, so anataka kujua huko nhc kwa...
Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii...
Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria
Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na...
Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako
Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar.
Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee.
Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
Hi,
Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira.
Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu.
Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na wala sina tatizo na Mtu kupigania haki yake ya kulipwa vizuri na ikiwezekana alipwe vizuri kwa kadri...
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape...
Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini.
Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa mwaka niende mjini nikaenjoy tu. Mnanishaurije wadau au nisevu tu ela yangu nibaki mageton kijijin...
Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee.
Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya.
Mwigulu hebu jitafakari
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.
Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.