mshahara

  1. Hold on

    Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

    Hi, Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe...
  2. J

    Dkt. Kigwangalla: Niliacha kazi ya Udaktari kwa sababu ya Mshahara mdogo, nilikuwa nalipwa tsh 126,000 Wakati Dereva wa TRA analipwa Tsh. 360,000/-

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo. Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh 126,000 kama Mshahara huku Dereva wa TRA akilipiwa tsh 360,000. Kigwangalla amesema akiwa Rais wa...
  3. Mwasapile

    Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule. Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni...
  4. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Magoe Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano. Akisimulia kilichotokea Zuhura ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 anasema...
  5. L

    JInsi Mshahara wa Mkenya utakavyopigwa panga kuanzia Julai 1, 2023

    JIRANI ZETU WATAENDELEA KUKIONA CHA MTEMA KUNI , HAPO BADO ISSUE YA DOLA KUPOTEA HAIJAINGIA.. Huku Wakenya wakiendelea kukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na ongezeko la gharama ya juu ya maisha, hakuna matumaini ya afueni kupatikana hivi karibuni. Hatua hii inajiri baada ya serikali...
  6. L

    Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

    Mpaka sasa si WAALIMU, MATABIBU wala MAAFISA WA JESHI waliopokea mishahara yao ya mwezi Mei 2023. Hazina ya serikali inahitaji wastani wa bilioni zaidi ya mia sita kila mwezi kwa mishahara ya watumishi wa umma na nyingine zaidi ya bilioni 8 bilioni kwa malipo ya pensheni. Watalaam mbalimbali...
  7. Mpwayungu Village

    CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa. Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
  8. K

    Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    View Vacancy - Chef (08/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not...
  9. The unpaid Seller

    Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

    Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais. Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu. Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana...
  10. peno hasegawa

    Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  11. L

    "WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

    "WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua. Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana. Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
  12. K

    Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
  13. GEITA NAFAKA BORA

    Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

    Habarin ndugu Wana JF. Nimekaa nikafikiria sana kati ya pande hizi mbili zinazokinzana. Hivi nikipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa mhitimu wa elimu ya juu ambaye hana Ramani yeyote maisha lakini ndoto zake ni kuwa mkubwa kiuchumi. Mara ghafra tuu ikatokea hii option. Je wewe kama mwanaJf...
  14. BARD AI

    Rais Samia: Mimi mfanyakazi Namba 1 sikupata nyongeza ya Mshahara

    Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye. Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa...
  15. K

    Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

    View Vacancy - Senior Programme Manager (04/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  16. Mr Q

    Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  17. M

    Mshahara wa Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani ni shilingi ngapi?

    Habari za saa hizi Wanajamii Forums, Kwa mtu anayejua, Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wanalipwa mshahara kiasi gani, na wakistaafu wanalipwa shilingi ngapi?
  18. Balqior

    Video ya wimbo huu Wa zamani unaoitwa "chezea mshahara, usichezee kazi" nitaipata wapi

    Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
  19. LA7

    Jinsi nilivyofanya kazi kwa mrundi kwa mshahara wa laki 3 kwa mwaka Kigoma

    Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi, Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi, Naona watu wamesimama pembezoni...
  20. Jumanne Mwita

    Mshahara haujawahi kutosha labda uibe

    Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya. NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai...
Back
Top Bottom