Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?
Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara?
Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote
Ps:
Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio...
Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia?
Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na Kaondoka kwa Maumivu makubwa Moyoni kwani alichukiwa na Viongozi Wawili kwakuwa tu alikataa kuwapa 10% ya...
Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe.
======
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA
(TUCTA)
TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe.
Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,
Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa...
Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!
Itakumbukwa katika sherehe za Mei mosi mwaka huu Mh. Rais aliahidi kurudisha annual increment kuanzia mwaka huu wa fedha. Nyongeza hiyo ya mwaka ilisimama kwa muda mrefu!
Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Kwa Washambuliaji mahiri waliowahi kupita / kucheza Yanga SC hata huyu Mayele bado hajafikia 50% isipokuwa saaa anaimbwa na kupambwa kwakuwa tu Nyota imemuwakia na Vyombo vya Habari nchini Tanzania vinampamba mno ila ni Mchezaji wa Kawaida tena sana.
Na kwa huku Kuvutana Kwenu nae kwa Siku ya 5...
Imekuwa kama utaratibu kwa serikali kuongeza mshahara mwezi wa Saba, watumishi wana tashwishi ya kujua kama kuna ongezeko au wasubiri increament wadau mlioko jikoni mtujuze.
Kazi iendelee
Uamuzi huo unafuatia pendekezo lililowasilishwa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) iliyotaka kuongeza Mishahara kwa Maafisa wakuu Serikalini kuanzia Mwezi Julai 2023.
Ruto amesema suala hilo haliwezi kutekelezwa wakati kuna pengo kubwa kati ya Wanaolipwa kiasi kidogo na wenye mapato ya...
Habari ya sikukuu
Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
Kwa wale vijana wenzangu mnaofanya kazi kwa dunia ya leo inavyokwenda unapokuwa na kazi hakikisha kwa pembeni una biashara yako au kampuni yako ya itayokuwa inakupa kipato.
Mambo ya makazini hayaeleweki muda wowote unaweza kupigwa chini hivyo unapokuwa unapata mshahara na viposho posho...
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024
Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Sasa tujie hizi
Naomba kuwasilisha
Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki.
Anayelipwa kiwango kama hicho ndani ya timu hiyo ni kipa David de Gea ndiye ambaye inadaiwa anaweza kuondoka...
Dar ni ngumu sana, Mnawezaje kuishi kwa elfu 4 kwa siku mkiwa na familia?
Kuanzia kodi, nauli, kula kutwa mara 3, kuugua na kuuguliwa, mambo ya shule n.k
Gharama zote hizi mtu anaziweza kwa 120,000?
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali.
Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.