Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya Mapinduzi yaliyomuondoa Ali Bongo.
Msemaji wa Serikali amesema Jenerali Nguema...
Habari wana Jamiiforums?
Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma.
Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo:
Ronaldo's mind-boggling new salary equates to:
Monthly: $17.75m
Weekly: $4.43m
Daily: $633,928
Hourly: $24,413
Per minute: $406.88
Per second: $6.78
Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=):
Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375)
Kwa wiki...
Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili.
Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?.
Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
Enzi ya uhai wake, hayati Magufuli aliwahi kutuambia kuwa analipwa shilingi milioni 9 kwa mwezi na akirudi toka mapumzikoni Chato atatuonyesha hati yake ya mshahara (salary slip).
Bahati mbaya mpaka anaingia kaburini hakuwahi kutuonyesha hiyo salary slip yake.
Je, ni kweli mshahara wa Rais ni...
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji ...
Kwema Wakuu!
Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi.
Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
Salaam Wakuu.
Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi
Angalizo; Mimi si Askari na sina...
Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
Leo niwasanue wadau, kuna mtu kagombana na boss wake kwa kuwa hakwenda japo aliomba ruhusa lakini ofisi ikawa na kiherehere kutaka kujua kwa nini hakufika.
Binafsi nikamshauri aseme tu hakuwa na pesa, akaniambia lakini nimepokea mshahara hata wiki 2 hazijaisha wakiniuliza ntajibuje...
Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo.
Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na,
1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea...
Habari wana Jamii,
Naomba kupata ushuhuda kwa waliobadili akaunti za kupitishia mshahara.
1. Je, haiwezi kupelekea kukosa mshahara?
2. Je, mhusika ni HR tu au kuna ngazi nyingine ya kwenye zoezi tajwa?
Kwa upande wangu naona NMB wana shida kwenye mifumo yao, kuna mwezi benki zingine mshahara...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
Mimi ni muajiriwa wa kampuni X, ila kiukweli mshahara ni mdogo sana nalipwa 250/month.
kiukweli hii pesa nashindwa kuigawa coz ni ndogo, 90% inaisha kwenye kula na matumizi mengine madogo madogo. Ni changamoto kiasi kwamba nashindwa hata kununua aset za ndani sababu pesa yote inakwisha najikuta...
Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani!
Kuna msemo wa wahenga usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa
Future yako iko rehani, huko uliko hakuna mashabiki wa kukusifia kama ilivyokuwa ukiwa Yanga, kiuhalisia hukuwa na maajabu😄
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.