Huwa natamani kuelewa vizuri. Sijajua vizuri kama Mbunge analipwa mshahara kila mwezi kwa miaka mitano, lakini ninachofahamu ni kuwa bunge likivunjwa baada ya miaka mitano huwa wanapewa hela nyingi sana, zaidi ya milioni 200 kwamba hiki ni kiinua mgongo.
Natamni kujua ni kigezo gani kilitumika...
Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.
Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa...
Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili.
Niliweka binti wa kazi...
Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi).
Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
Wataalam wa Darisalaam nawasalim,
Ndo nmereport kazin apa na takehome ya 1M. Nipeni mbinu za kufanya ili kufikia mwisho wa mwaka huu nisiwe Tena mtegemezi wa mshahara.
Nipeni mbinu za kiasi gani Cha kusave, kuspend na kuinvest ili kijana wenu nisiwe napiga marktime.
Na kama nainvest nipeni...
Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly?
Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea.
TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
Habari wakuu,
Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA...
Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha...
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni...
Mwanahabari nguli hapa nchini, Jenerali twaha ulimwengu amewaasa vijana kuacha mara moja kununua magari kama hawana kipato cha million 6 kwa mwezi.
Mwanahabari huyo ameainisha kuwa, Nimepata feedback kwa vijana wanasema wakiwa na kipato cha million mbili wanaweza kununua gari. Tatizo hapa ni...
Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo, Wilaya ya Butiama wamerejea kwenye mgomo na wakulala ofisini wakishinikiza Mwekezaji wa Mgosi kulipwa mshahara na malimbikizo, ikiwa ni wiki moja tu tangu walipositisha mgomo baada ya kuahidiwa kuwa watalipwa Januari 11, 2024...
Salaam wapenzi wana JF.
Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa.
Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima.
Siyo sawa kabisa.
Ahsanteni.
Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi?
Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara...
Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.
Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari.
Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi...
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.