mshahara

  1. snboy

    Msaada kwa mwenye uelewa wa PTSS 10.1 salary scale ni sh ngapi

    Kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo msaada tafadhali
  2. BARD AI

    Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  3. A

    KERO Walinzi mgodi wa Magesa hatujalipwa mishahara zaidi ya miezi 3, muhusika anasema hawezi lipa sababu kazi zilisimama, lakini kazi za ulinzi hazikukoma

    Nina fanya kazi kazi katika Mgodi wa Magesa Gold mine uliopo Nyamatagata wilaya ya Geita mkoani Geita. Changamoto iliyopo ni kwamba; tuna zaidi ya miezi mitatu (3) hatujapata mishahara, mgodi ulikuwa umesimama uzalishaji kutokana na changamoto ya mvua zilizokuwa zinaendelea kunyesha lakini sisi...
  4. M

    SoC04 Hakikisha unaweza kuishi miezi sita bila mshahara na usiathirike, hapo utakuwa mstaafu mzuri ajaye

    Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na kwenye ajira kila siku watu hutafuta kazi ila wanasahau kuwa kuna siku wataishi bila hiyo kazi...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Baada ya mshahara kutoka watu wenye harusi wameanza simu

    Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi. Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na...
  6. O

    Peleka mshahara wako wa Kwanza kwa Baba yako sio mchungaji wako ubebe bataka zako

    https://www.instagram.com/reel/C6wky19Nd4U/?igsh=MXg1dDR5bWhzNno5bg==
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Hatimaye jana nimelipwa mshahara wa Machi na Aprili baada ya kufanyiwa ukatili na PEPMIS

    Daaaaahh, so sad Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa? Ili afedheheke katika jamii? Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele kimoja cha mfumo wa PEPMIS ni uzembe wa mwajiri wangu. Nimepokea pesa nimetumia laki tu zingine...
  8. jangoma

    Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

    Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu. Mkoa Mwanza
  9. Mcheza Piano

    Dharau: Mshahara wa Mgunda + Matola haufikii nusu ya mshahara aliokuwa akilipwa Benchikha

    Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club, yaani ikitokea watu wamechelewesha kodi kwenye lile jengo lao, au wanachama wamesusia kulipa ada...
  10. K

    Nyongeza ya mshahara bora watumish wote wahamie Zanzibar

    Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumishi wa umma, haiwezekani mtumishi no. 1 akashindwa kufika kwenye siku ya WafanyaKazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote. Halafu Cha ajabu wawakilishi wake wanatoa majibu mepesi kwenye maswali yanayohitaji majibu sahihi. Mbona Mh...
  11. Roving Journalist

    Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

    Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi? Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣 Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu...
  13. A

    KERO Wafanyakazi CHODAWU hawajalipwa mshahara tangu Oktoba 2021

    Habari, Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021. Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa maisha. Watu wamefika umri wa kustaafu ila wamebaki ofisini kwa sababu hawajalipwa mshahara na pesa...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  15. mdukuzi

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  16. R

    Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Job Category 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Subcategory 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Description (Roles and Responsibilities) 1 Main purpose of job: BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
  18. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kwa elimu ya ngazi ya degree kwa mwaka 2021. Mwaka 2022 nilibahatika kupata kazi katika kampuni moja ya BINAFSI ambapo nilipita kihalali katika nafasi moja ya kazi ilokuwa inahitaji watu sabini na kitu hivi. Katika tangazo lao la kazi...
  19. F

    Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  20. B

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
Back
Top Bottom